Ask Google

Results for maneno mengi kama translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Kila kipande cha habari kinaweza kuunganishwa katika maneno mengi.

English

Each piece of news can be tagged with many words. In the left column, we can find the most popular tags.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Basi, joka likatapika maji mengi kama mto, yakamfuata huyo mama nyuma ili yamchukue.

English

And the serpent cast out of his mouth water as a flood after the woman, that he might cause her to be carried away of the flood.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu. Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi.

English

But when ye pray, use not vain repetitions, as the heathen do: for they think that they shall be heard for their much speaking.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Abrahamu aliamini na kutumaini ingawa hali yenyewe ilikuwa bila matumaini, na hivyo amekuwa baba wa mataifa mengi kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: "Wazao wako watakuwa wengi kama nyota!"

English

Who against hope believed in hope, that he might become the father of many nations; according to that which was spoken, So shall thy seed be.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Kama watotokatika video wanavyosema kwa kutumia maneno mengi: wanaweza kuwa na wakati mgumu kukabiliana na mengi ya maoni nba mitazamo ambayo watoto wengine wanaitoa, lakini kuwa na sehemu ya kujadili masuala katika njia salama kunawasaidia kuelewa ulimwengu wanamoishi huku wakiwa na uwezekano wa kukutana, kujifunza na kushiriki na watoto wenzao pamoja na vijana na hata kubadili hiyo mitazamo.

English

As the children in the video state in so many words: they may have a hard time dealing with many of the opinions and perceptions other children express, but having the space to discuss issues in a safe and secure manner helps them understand the world they live in with a possibility to interact, learn and share with other children and youth and even change these perceptions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kadri makundi kama vile ISIS/ISIL/IS/FuckNutBuggerFucks yanavyoendelea kuandamana kwenye maeneo mengi kama Iraq/Levant/Babylonia/Assyria, na shughuli nyingine zenye kutiwa ujasiri wa kipuuzi zinazoendelea duniani kote kwa kuchochewa na matamshi ya kijinga yanayotolewa kwenye mitandao kama You Tube na kuhamasisha watu kukatwa vichwa na watu wanaojituma wenyewe kufanya hivyo, mambo yataendelea kuwa magumu kwa Waislamu wa kawaida.

English

As ISIS/ISIL/IS/FuckNutBuggerFucks continue their march across Iraq/Levant/Babylonia/Assyria, and enthusiastic nut-jobs around the world get inspired by YouTube calls-to-arms and begin cutting heads off on a freelance basis, things are going to get bad for the average Muslim.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tutakuwa na mambo kama ngozi ya Kathleen Bomani kutoka Human Skin, Filadefia ya miaka ya 1880 na tutakuwa na mambo mengi, kama vile utawala wa kikatili wa Uingereza kwenye miaka ya 1950 nchini Kenya na hata wakati ule serikali ya Afrika Kusini ilipotuma ujumbe kwenda Marekani kutafuta kujua namna "kuweka nafasi za mahotelini/ndege" kunavyofanyika.

English

We featured stuff like Kathleen Bomani’s Leather from Human Skin in 1880s Philadelphia and pulled together a wide range of material, from Britain’s mass torture regime in 1950s Kenya to that time the South African government sent a delegation to the USA to find out how “reservations” worked.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK