Results for manii translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

manii

English

semen

Last Update: 2021-03-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa tone la manii, akamuumba na akamkadiria.

English

from a (sperm) drop he created him and then determined him,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

unatakiwa uweze kumwaga manii ndani ya sku saba

English

spilling sperm

Last Update: 2024-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwani hakuwa yeye tone ya manii lilio shushwa?

English

does the human being think that he will be left uncontrolled?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

amemuumba mtu kwa tone la manii. naye mara amekuwa mshindani dhaahiri.

English

he created man from a drop of [seminal] fluid, and, behold, he is an open contender!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na mwenyezi mungu amekuumbeni kutokana na udongo. kisha kwa tone la manii.

English

allah created you from dust, then from a (sperm) drop.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwani mwanaadamu haoni ya kwamba sisi tumemuumba yeye kutokana na tone la manii?

English

and did not man see that we have created him from a drop of semen?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

unamkufuru aliye kuumba kutokana na udongo, tena kutokana na tone la manii, kisha akakufanya mtu kaamili?

English

you disbelieve in him who has created you from dust, then from a drop of liquid, and then created you as a complete man?”

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwani mwanaadamu haoni ya kwamba sisi tumemuumba yeye kutokana na tone la manii? kisha sasa yeye ndio amekuwa ndiye mgomvi wa dhaahiri!

English

does man not consider that we created him from a [mere] sperm-drop - then at once he is a clear adversary?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwenzake akamwambia kwa kubishana naye: je! unamkufuru aliye kuumba kutokana na udongo, tena kutokana na tone la manii, kisha akakufanya mtu kaamili?

English

disputing with him, his companion said: "do you disbelieve in him who created you from dust, then a drop of semen, then formed you into a man?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ikiwa nyinyi mna shaka ya kufufuliwa basi kwa hakika sisi tulikuumbeni kutokana na udongo, kisha kutokana na manii, kisha kutokana na kipande cha damu ilio gandana, kisha kutokana na kipande cha nyama chenye umbo na kisicho kuwa na umbo, ili tukubainishieni.

English

if you are in doubt about the resurrection, [consider that] we created you from dust, then from a drop of [seminal] fluid, then from a clinging mass, then from a fleshy tissue, partly formed and partly unformed, so that we may manifest [our power] to you.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,941,743,326 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK