Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hapo simoni aling'amua kwamba kwa kuwekewa mikono ya mitume waumini walipewa roho mtakatifu. hivyo aliwapa petro na yohane fedha akisema,
and when simon saw that through laying on of the apostles' hands the holy ghost was given, he offered them money,
salamu zangu kwa androniko na yunia, wananchi wenzangu waliofungwa gerezani pamoja nami; wao wanajulikana sana kati ya mitume; tena walikuwa wakristo kabla yangu mimi.
salute andronicus and junia, my kinsmen, and my fellowprisoners, who are of note among the apostles, who also were in christ before me.