From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mwaka 2011, mkazi mwingine wa ghazni aliye na kipaji, bila hata ya kupata mafunzo yoyote au vifaa maalum, alipaisha ndege aliyoiunda kwa kutumia mabaki ya mkokoteni wa matairi mawili unaokokotwa na binadamu na pia kwa kutumia mabaki ya gari aina ya toyota iliyokuwepo katika bustani yake.
in december 2011, another talented resident of ghazni, without any special training or tools, flew an aircraft he had built from bits of rickshaw and a secondhand toyota car in his garden.