Results for matoleo translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

matoleo

English

editions

Last Update: 2024-03-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matoleo katika lugha nyinginezo yako mbioni kutoka.

English

more languages are underway.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wengine wanadhani anatakiwa atumike kwenye matoleo mengine ya sesame street.

English

and still others think she should be introduced on other versions of sesame street.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini tofauti na muswada wa makosa ya mtandaoni, miswada hiyo mitatu haikuonekana hadharani katika matoleo yao ya hivi sasa.

English

but unlike the cyber crime bill, none of these three bills have been shared with the public in their current versions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwelekeo wa gnome kwenye upande wa matutumizi bora, dafaa imara ya matoleo inaitia ubora katika kundi la programu dezo za kidawati

English

gnome's focus on usability and accessibility, regular release cycle, and strong corporate backing make it unique among free software desktops.

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

kitabu hiki cha kieletroniki kina jumla ya makala 13 katika lugha ya kiingereza (matoleo katika lugha nyingine yanaandaliwa).

English

"eu in crisis" ebook cover

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hii imepelekea kuandaliwa kwa matoleo mawili ya video yaliyowahusisha waandaaji kadhaa wa filamu ambao ni wazawa na pia, zikiwa zimesheheni habari za kipekee za kijamii, kitamaduni, pamoja na hali ya kisiasa ya papua ya magharibi.

English

the result was a two-volume video featuring various local filmmakers and unique stories about the social, cultural, and political situation in west papua.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makala hii ni ya tatu katika matoleo ya makala zetu za - "wanayo majina" - iliyo na madhumuni ya kuwazungumzia wanablogu ambao hadi sasa wapo gerezani.

English

this marks the third post in our series – “they have names” – that seeks to highlight the individual bloggers who are currently in jail.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

anaongeza zaidi kuwa: “pindi tovuti ikianza kufanya kazi na kwa kutumia idadi nzuri ya zana au miundo, nitaufanya msimbo kuwa wa wazi kwa kila mtu na kuwakaribisha waendelezaji na waandishi wa habari kuuimarisha ili waweze kutengeneza matoleo yao ya tovuti hii.

English

and he adds: "once the site is working with a healthy amount of applications, i will make the code open source and invite developers and journalists to improve it so they can launch their own versions of the site".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,772,732,226 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK