Results for matope translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mbinu chafu na vitendo vya kupakana matope

English

dirty tricks and mudslinging

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inaonekana kwamba siasa za kupakana matope zilikuwa zimekithiri.

English

it seems that the mudslinging had gone overboard.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa jina la mwenyezi mungu, kwa nini robert mugabe anaipaka matope naijeria.

English

for god's sake, why should robert mugabe fabricate a tissue of lies against nigeria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.

English

and assuredly we have created human being from ringing clay of loam moulded.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi.

English

until, when he reached the setting of the sun, he found it setting in a spring of murky water and near it he found some people.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. na hapo akawakuta watu.

English

till he reached the point of the setting sun, and saw it set behind a muddy lake, and near it found a people.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akasema: haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumba kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yenye sura.

English

"how could i bow," said he, "before a mortal whom you created from fermented clay dried tingling hard?"

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wakati yeye na wanablogu wote wa upinzani wanapoandika idadi kubwa ya madai yasiyo na haki na makala zisizo na ustaarabu zinazowapaka matope wengine wote, ni sawa.

English

when he and all the opposition bloggers write tremendous amount of unfair accusations and uncouth articles defaming everyone else, it is fine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bila ya maji walianza kufyonza mawe ili kutuliza kiu, pia walijaribu kunyonya umande kutoka kwenye matope kwa kuweka kitambaa kati ya midomo yao na tope lenye nyevunyevu.

English

with no water they tried licking rocks to quench their thirst, and also tried sucking up the moisture from the mud, by putting a piece of clothing between their mouth and the moist mud.

Last Update: 2024-02-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwandishi wa habari wa reuters aliyeko addis barry malone aliandika posti kwenye blogu ya shirika hilo iitwayo africa news blog yenye kichwa cha habari kuanguka kwa ndege ya kiethiopia kusipake matope habari za mafanikio:

English

reuters' addis-based correspondent barry malone wrote a post on the company's africa news blog titled ethiopian plane crash should not sully success story:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mji mdogo wa sarai ambao una sifa ya utulivu na amani ghafla ulifuka vipeperushi vya uongo na kupakana matope, wapiga kura walifuatwa kokote walikokuwa iwe ni makazini au mashuleni, na kuambiwa wasimpigie ezhov kura kwa sababu yoyote.

English

quiet and peaceful sarai was inundated with deceitful and provocative leaflets, voters were rounded up where they work and study, and told to not for ezhov for any reason.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kutoka katika kikundi cha wanawake kinachodai kuwa kimeifanya mali kuwa nguvu katika nyanja ya kutia rangi nguo, mpaka kwa wasanii ambao wameamua kuufanya mtindo wa bamako au mtindo wa nguo zinazotiwa rangi kwa matope kuwa ni chapa yao, mpaka kwenye nyanja ya utalii ambayo imekua kwa njia ya hii sanaa.

English

from a women's group which claim to have placed mali as a power in the cloth dying industry, to artists who have decided to make bogolanfini or mud dyed cloths their medium, to the touristic industry that has grown around this art.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadaye, basi la shule lilikwenda kwenye ziwa dogo kuona viboko. lakini basi lilikwama kwenye matope! hatukuweza kusonga mbele na hatukuweza kushuka kwenye basi! "bila shaka! hippos inaweza kuwa mifugo, lakini bado ni wanyama pori na hatari." momo aliongezea. kwa hivyo ni dereva tu aliyeshuka kwenye basi na kwenda kupata msaada. alipokuwa anachelewa kurudi, momo na lolotte, walimu na wanafunzi wa darasa la nne walianza kuwa na wasiwasi

English

afterwards, the school bus went to a small lake to see some hippos. but the bus got stuck in the mud! we couldn't move forward and we couldn't get off the bus! "of course! hippos may be herbivores, but they are still wild and dangerous animals." momo added. so only the driver got out of the bus to go get help. as he was slow to return, momo and lolotte, the teachers and the fourth grade students started to worry.

Last Update: 2022-04-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,891,538,937 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK