From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
biashara ya mifugo
Last Update: 2020-05-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wizara ya mifugo na uvuvi
department of livestock and fisheries
Last Update: 2024-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
uadilifu ni mazao ya mbegu ambazo wapenda amani hupanda katika amani.
and the fruit of righteousness is sown in peace of them that make peace.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hadi sasa tumeweza kuwasajili wakulima milioni 4.2 na pia wafanyabiashara wa mazao ya kilimo 900.
to date we have registered 4.2 million farmers and about 900 agro dealers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati wa mavuno, alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima akamletee sehemu ya mazao ya shamba lake.
and at the season he sent to the husbandmen a servant, that he might receive from the husbandmen of the fruit of the vineyard.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa sasa wahindi wa ki-yukpa wameyatwaa tena mashamba hayo makubwa, na wale wamiliki waliokuwa wakiyashikilia na ambao walitegemea nyama na uzalishaji wa mazao ya mifugo kuendesha maisha wanashindwa kuendelea na kazi zao.
currently the yukpa indians have taken over the ranches, and the landowners who live off meat and dairy production are unable to continue their work.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
inakadiriwa kuwa kuna wabrazili 5,000 waliosajiliwa nchini angola haswa wanaojishughulisha na masuala ya ujenzi, uchimbaji madini na biashara za mazao ya kilimo.
there are an estimated 5,000 brazilians registered in angola, mainly working for construction, mining and agribusiness companies.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika jimbo la mashariki jana, suala la ugawaji ardhi na mazao ya ziada ya kilimo ni jambo lililopongezwa -ahadi ilitolewa kwa msaada zaidi wa serikali
in eastern province yesterday, commended success of land distribution and agricultural surplus -pledged more government support
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
juhudi muhimu za utafiti umelenga kufafanua wazi asili ya virusi hivi vya korona vya mnyama, haswa na wataalamu wa virusi wanaopendezwa na magonjwa ya mifugo na vinavyosambazwa kutoka kwa mnyama hadi kwa mwanadamu.
significant research efforts have been focused on elucidating the viral pathogenesis of these animal coronaviruses, especially by virologists interested in veterinary and zoonotic diseases.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
je, mwanajeshi gani anayelipia utumishi wake jeshini? mkulima gani asiyekula matunda ya shamba lake la mizabibu? mchungaji gani asiyekunywa maziwa ya mifugo yake?
who goeth a warfare any time at his own charges? who planteth a vineyard, and eateth not of the fruit thereof? or who feedeth a flock, and eateth not of the milk of the flock?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tumetengeneza jukwaa la kielektroniki (mkoba-pepe) ambako tuliwasajili wakulima na wafanyabiashara wa mazao ya kilimo wanaomiliki maduka yanayouza pembejeo za kilimo kote nchini.
we created an electronic platform (e-wallet) on which we registered farmers and agro dealers who own shops that sell farm inputs all over the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
afrika ina viwanda vidogo na vya kati vipatavyo milioni 65 , hata hivyo bado inajikongoja kuendeleza kundi la wajasiriamali wa ndani wa kusimamia viwanda vya kimkakati, hususani mauzo ya mazao ya nje ya mazao ya kilimo, madini, usafiri na sekta ya viwanda vya umma ambapo soko mara nyingi mno hugeuka kuwa ya mameneja wa kigeni.
africa has 65 million small and medium enterprises (smes) , nevertheless it is still struggling to develop a class of local entrepreneurs to manage strategic industries, specifically the export of agricultural raw materials, mining, transport and industry public works where the market too often turns to foreign managers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
yupo mmoja wenu anaye penda kuwa na kitalu cha mitende na mizabibu ipitayo mito kati yake, naye humo hupata mazao ya kila namna, na uzee ukamfikia naye hali ana watoto wanyonge, kikapigwa na kimbunga chenye moto, kikaungua? hivi ndivyo mwenyezi mungu anavyo kubainishieni ishara ili mpate kufikiri.
does one of you like that he should have a garden of palms and vines with streams flowing beneath it; he has in it all kinds of fruits; and old age has overtaken him and he has weak offspring, when, (lo!) a whirlwind with fire in it smites it so it becomes blasted; thus allah makes the communications clear to you, that you may reflect.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wale wanaojaribu kurudi kwenye ardhi zao za asili wanakuta tayari serikali imeshaigawa ardhi hiyo kwa wawekezaji wa kigeni ambao kwa haraka haraka wanasafisha maeneo hayo kwa kuondoa mapori, mashamba yaliyokuwepo na vichaka ili kupata nafasi ya kulima mazao ya kibiashara kama vile ufuta, chai, viungo, mchele, na sukari, ambapo mazao mengi yanakusudiwa kuuzwa nje ya nchi.
those who try to return to their ancestral lands find that the government has already leased their lands to foreign investors who are hurriedly bulldozing forests, farms, and wetlands in order to grow commercial crops of agro fuels, tea, spices, rice, and sugar cane, mostly for export.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: