From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mahaba mazito
heavy responsibilities
Last Update: 2024-06-02
Usage Frequency: 1
Quality:
tutamsahilishia yawe mazito!
for him we shall ease the way of adversity,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
daraja anaibua maswali mazito:
daraja raises serious questions:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
yeye amekuteueni. wala hakuweka juu yenu mambo mazito katika dini.
he has chosen you (for his task), and he has not laid upon you any hardship in religion.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hizo pepo zinapo beba mawingu mazito tunayachunga mpaka kwenye nchi iliyo kufa.
when heavy clouds are formed, we drive them unto a barren country and rain down on it water to cause all kinds of fruits to grow.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
asubuhi njema na kumshukuru mungu kwa ajili ya november mpya tukianza na maombi mazito
good morning and thank you god for the new d
Last Update: 2024-11-01
Usage Frequency: 1
Quality:
yeye ndiye anaye kuonyesheni umeme kwa khofu na tamaa, na huyaleta mawingu mazito.
he it is who causes you to see lightning that inspires you with both fear and hope, and he it is who whips up heavy clouds.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ni filamu bora kabisa na yenye maudhui mazito ya uchunguzi kuhusu udhaifu wa sekta ya uchimbaji wa madini nchini zambia na uharibifu wa kimazingira unaoambatana na shughuli hizo.
a powerful documentary on the economic plunder of copper mining in zambia and the associated environmental damage.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hizo pepo zinapo beba mawingu mazito tunayachunga mpaka kwenye nchi iliyo kufa. kisha tunateremsha kwayo maji, ndio kama hivyo tukatolesha kila aina ya matunda.
then, when they have gathered up heavy clouds, we drive them to a dead land, where we make water come down, and with it we bring out all kinds of fruits.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mnamo tarehe 10 aprili, 2012, tanzania ilimuaga mmoja wa wasanii wake maarufu na nyota katika tasnia ya filamu, steven kanumba, kwa maziko yaliyogubikwa na majonzi mazito.
tanzania bid farewell to one of its most popular film stars, steven kanumba, with an emotionally-charged funeral on 11 april, 2012.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
japokuwa siamini tena katika mahaba na mapenzi mazito niliyokuwa nikiyatamani, na japokuwa siamini uongo wa wanaume wanaposema “nakupenda” wewe bado unaweza kuwa na matumaini kidogo.
although i no longer beleive in romance and that passionate love i used to dream of, and although i no longer trust a man's fake "i love you"s, but you might still have a little hope.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
katika kujaribu kutumia mbinu "laini" ili kufafanua masuala mazito, ujumbe huweza kupotea au maana/na umuhimu, unaweza kuchujwa sana.
in trying to always use "subtle" means to explain burning issues, the message is either lost or the meaning/importance, seriously minimized.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lazima wajenge hali ya kutokuwaamini kirahisi wanasiasa na wawaulize maswali mazito wanapogombea nafasi za uongozi….vyama vya kiraia, makanisa, vyama vya kisiasa na sisi sote lazima tushinikize kupunguzwa kwa madaraka ya watalawa, ambalo kwa hakika ndilo tatizo kubwa linalotukabili.
they should adopt a skeptical disposition and thoroughly question prospective candidates ... civil society, the church, political parties and all of us must press for a drastic reduction in the powers of the executive, arguably the greatest single problem.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: