From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ni mradi mzuri unaojenga mazoea ya wajibu wa pamoja duniani, familia kidunia, na kuibua mjadala mkubwa.
it is a brilliant initiative that creates a worldwide action, a global community, and a great dialogue.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
miongoni mwa sababu ni 'umbali na gharama za usafiri, matibabu duni, hamu ya kuwa karibu na familia, na hamu ya mazoea ya jadi ya kujifungua.
among the reasons are 'distance and cost of transport, poor treatment, desire for family to be near, and desire for traditional birth practices.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
makadirio ya ripoti ya benki ya dunia inaonyesha kwamba asilimia (20 - 40%) ya fedha za sekta ya maji zinapotea kupitia mazoea ya udanganyifu.
estimate by the world bank report suggests that twenty –forty percent (20 – 40% ) of water sector finances are being lost to dishonest practices.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
…ingawa kuwaweka watoto pamoja na wanafamilia nyingine ni mazoea ya siku nyingi nchini haiti, siku hizi ‘waandikishaji wanaolipwa huzunguka nchi wakitafuta watoto kwa ajili ya kuwasafirisha ndani na nje ya nchi ya haiti.
...although placement with children with other family members has long been a practice in haiti, nowadays 'paid recruiters scour the country looking for children to traffic both within and outside haiti.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.