Results for mbioni translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

miguu yao iko mbioni kumwaga damu,

English

their feet are swift to shed blood:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matoleo katika lugha nyinginezo yako mbioni kutoka.

English

more languages are underway.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao wako mbioni, vichwa juu, na macho hayapepesi, na nyoyo zao tupu.

English

(and) they would hasten forward, heads lifted upwards, gazes fixed, and emptied out their hearts.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jimboni tamil nadu aliyekuwa mcheza filamu na waziri mkuu, jayalalitha, bado yumo mbioni baada ya kushindwa katika uchaguzi uliopita.

English

in tamil nadu former actress and chief minister jayalalitha is in the running after being defeated in the previous elections.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uchaguzi mkubwa zaidi duniani uko mbioni nchini india na mwanablogu anuradha shankar kwenye blogu yake ya "a wandering mind" anabainisha changangamoto halisi za kuboresha daftari la wapiga kura tayari kwa matumizi.

English

the world's largest elections are underway in india and blogger anuradha shankar at "a wandering mind" blog points to the practical challenges of keeping the huge electoral list of the country updated for ready use.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hii imesababisha wachapishaji kuchunguza taratibu za utayarishaji wa sampuli unaohusisha sampuli za joto katika nyuzi joto 98 °c (208 °f) kwa dakika 5 kuachilia jenomu ya rna kwa ajili ya vipimo zaidi.tarehe 31 machi ilitangazwa kwamba muungano wa milki za kiarabu sasa ulikuwa unapima zaidi watu wengi kwa virusi vya korona kuliko nchi nyingine yoyote, na ilikuwa mbioni kuzidisha viwango vya upimaji kuifikia idadi ya juu ya watu.

English

this has led some authors to explore sample preparation protocols that involve heating samples at 98 °c (208 °f) for 5 minutes to release rna genomes for further testing.on 31 march it was announced united arab emirates was now testing more of its population for coronavirus per head than any other country, and was on track to scale up the level of testing to reach the bulk of the population.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,919,175,080 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK