Results for mbuga translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mbuga

English

mbuga

Last Update: 2015-04-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

safari ya mbuga ya wanyama

English

wild animals are kept in forest.they attract tourists and earn us money,wild animals are kept in zoo,game park and many

Last Update: 2022-07-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

waasi ndio wakazi pekee wa kituo cha mbuga cha ramangabo hivi sasa.

English

the rebels now are the only occupants of the park station at rumangabo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni kupitia mbuga za wanyama zinazovuka mipaka ya nchi kwamba tunaweza kufanikisha jambo hilo.

English

transfrontier parks are a way we can do just that.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

samantha newport anaandika kuhusu utata uliopo kwenye blogu ya mbuga za taifa za virunga:

English

samantha newport writes about the confusion on the virunga park blog:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mapambano yamezingira kabisa kituo cha mbuga na walinzi wa doria mbugani wamelazimika kukimbilia misituni ili kuokoa maisha yao.

English

fighting has now totally engulfed the park station and our rangers have been forced to flee into the forests for their lives.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jamii zilikuwa zihamishwe kutoka kwenye eneo la mbuga kwenda kwenye eneo ambalo kabla ya hapo lilikuwa limetolewa kwa procana kwa ajili ya kuzalisha miwa.

English

communities were to be resettled from the park area to the lands then subsequently conceded to procana for sugarcane production.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika ujumbe mwingine kwenye blogu ya mbuga za taifa za virunga, emmanuel de merode pia anaandika kuhusu utata unaotawala goma:

English

on another post at the virunga park blog, emmanuel de merode also writes about the confusion reigning in goma:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mkurugenzi wa mbuga hiyo, emmanuel de merode, anaandika kuhusu matukio ya jumapili katika blogu rasmi ya ya mbuga za virunga:

English

the director of the park, emmanuel de merode, wrote about the events on sunday at the official virunga park blog:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

askari doria wa mbuga walianza safari jumapili mnamo saa 3 asubuhi wakiwa kundi la watu 14 - kadhalika walikuwa na wanajeshi 4 ambao pia walikuwa wanwakimbia waasi.

English

the rangers started off on sunday at 9am as a group of 14 - and also with 4 members of the military who were also fleeing the rebels.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

barabara kuu imefungwa kutokana na mapambano hivyo wanatembea kwa miguu kukatiza misitu kusini mwa mbuga, kuelekea kibumba, takriban kilometa 20 hivi zaidi,ambako tunatarajia kwenda kuwachukua kwa kutumia malori.

English

the main road is blocked because of the fighting so they are walking through the forests of the park south, to kibumba, about 20km away, where we aim to pick them up in trucks.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni kupitia ushiriki wake katika asasi yake ya the peace parks foundation (taasisi ya mbuga za wanyama za amani), pamja na ile ya sir richard branson, mike humphries, na virgin unite kwamba ndoto hiyo itatimia na kuwa kweli.

English

it is through his involvement with his organization, the peace parks foundation, along with sir richard branson, mike humphries, and virgin unite that this dream will become a reality.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,877,188,671 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK