Results for mbuga za wanyama translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

mbuga za wanyama

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

bidhaa za wanyama

English

animal products

Last Update: 2023-10-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sehemu za wanyama kipenzi

English

video za wanyama kipenzi

Last Update: 2016-03-19
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sauti za wanyama ngombe htoa saut gani

English

the sound of an animal's voice can be heard

Last Update: 2021-02-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sauti za wanyama wa porini na wa nyumbani

English

sounds of wild and domestic animals

Last Update: 2021-03-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

amekuumbieni namna nane za wanyama: wawili katika kondoo, na wawili katika mbuzi.

English

(he has given you) eight couples, a pair of sheep and a pair of goats.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

samantha newport anaandika kuhusu utata uliopo kwenye blogu ya mbuga za taifa za virunga:

English

samantha newport writes about the confusion on the virunga park blog:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

uchanganuzi wa kifilojenetiki umetoa ushahidi wa matukio ya usambazaji wa hcov baina ya aina za wanyama katika historia.

English

phylogenetic analysis has provided evidence for interspecies transmission events of hcovs in the history.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika ujumbe mwingine kwenye blogu ya mbuga za taifa za virunga, emmanuel de merode pia anaandika kuhusu utata unaotawala goma:

English

on another post at the virunga park blog, emmanuel de merode also writes about the confusion reigning in goma:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kando na aina tofauti za wanyama wabebaji, vigezo vitatu vikuu kwenye upande wa virusi pia ni muhimu katika kuwezesha virusi vya covs kusambazwa kwa viumbe.

English

apart from different types of the animal hosts, three major factors on the viral side are also important in facilitating covs to cross species barriers.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na mwenyezi mungu amekujaalieni majumba yenu yawe ni maskani yenu, na amekujaalieni kutokana na ngozi za wanyama nyumba mnazo ziona nyepesi wakati wa safari zenu na wakati wa kutua kwenu.

English

god has made your house the place for you to rest. he has also made homes for you out of the skins of cattle which are easy to carry along on a journey or at a camp.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa kuwa maambukizi ya sars-cov hutokana na kutangamana kati ya binadamu na ngawa sokoni, kufunga soko za wanyama na kuwauwa ngawa wote mle kungesaidia kungefanikiwa kukomesha janga la sars.

English

given that sars-cov infection originates from the contact between humans and civets in the markets, closing wet markets and killing civets therein could have effectively ended the sars epidemic.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na mwenyezi mungu amekujaalieni majumba yenu yawe ni maskani yenu, na amekujaalieni kutokana na ngozi za wanyama nyumba mnazo ziona nyepesi wakati wa safari zenu na wakati wa kutua kwenu. na kutokana na sufi zao na manyoya yao na nywele zao mnafanya matandiko na mapambo ya kutumia kwa muda.

English

and allah has made for you in your homes an abode, and made for you out of the hides of the cattle (tents for) dwelling, which you find so light (and handy) when you travel and when you stay (in your travels), and of their wool, fur, and hair (sheep wool, camel fur, and goat hair), a furnishing and articles of convenience (e.g. carpets, blankets, etc.), a comfort for a while.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

amekuumbieni namna nane za wanyama: wawili katika kondoo, na wawili katika mbuzi. sema je, ameharimisha yote madume wawili au majike wawili, au waliomo matumboni mwa majike yote mawili?

English

(take) eight (head of cattle) in (four) pairs: of sheep a pair, and of goats a pair; say, hath he forbidden the two males, or the two females, or (the young) which the wombs of the two females enclose?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, maswali bado hayajajibiwa kwa kuwa visa vingi vya watu waliothibitishwa kuwa na mers hawana historia ya kutangamana na ngamia kabla ya kuanza kwa dalili, na kuashiria pakubwa maambukizi ya binadamu hadi kwa binadamu au njia zisizojulikana za usambazaji zinazohusisha aina za wanyama ambao hawajatambuliwa wanaobeba mers-cov.

English

however, questions still remain since many confirmed cases of mers have no contact history with camels prior to symptom onset, plausibly ascribed to human-to-human transmission or unknown transmission routes involving unrecognized animal species that harbour mers-cov.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kila mara safarini nimekabiliwa na hatari za mafuriko ya mito, na hatari za wanyama; hatari kutoka kwa wananchi wenzangu na kutoka kwa watu wa mataifa mengine; hatari za mjini, hatari za porini, hatari za baharini, hatari kutoka kwa ndugu wa uongo

English

in journeyings often, in perils of waters, in perils of robbers, in perils by mine own countrymen, in perils by the heathen, in perils in the city, in perils in the wilderness, in perils in the sea, in perils among false brethren;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jina hili lilichaguliwa ili kuepuka kurejelea eneo mahususi la kijiografia (k.m. china), aina za wanyama au vikundi vya watu, kulingana na mapendekezo ya kimataifa kuhusu kutoa jina linalolenga kuzuia unyanyapaa. virusi vinavyosababisha covid-19 vinaitwa virusi vya korona vya ugonjwa mbaya wa pumu 2 (sars-cov-2).

English

the name had been chosen to avoid references to a specific geographical location (e.g. china), animal species or group of people, in line with international recommendations for naming aimed at preventing stigmatisation.the virus that causes covid-19 is named severe acute respiratory syndrome coronavirus 2 (sars-cov-2).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,781,757,052 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK