Results for mbunge translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mbunge

English

maana ya mbunge kwa kiingereza

Last Update: 2020-10-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mbunge anakuja

English

mbunge anakuja

Last Update: 2021-02-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mbunge huyo alijibu :

English

the mp replied :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maana ya mbunge kwa kiswahili

English

maana ya mbunge kwa kiswahili

Last Update: 2021-06-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bado sijaona twiti kutoka kwa mbunge mwanamke

English

@deejahn @she_infinite i am yet to see a tweet from a female mp. #mpsengage — dennis r. tusiime (@drwatooro) february 26, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yeyote anaweza kuwa mbunge, lakini si kila mmoja amesoma.

English

anyone can be an mp, but not everyone is educated.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huko mbeleni, ninataka kusoma siasa na kuwa mbunge wa eneo letu.

English

in future, i want to study politics and become a member of parliament for my area.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jeff ooi, ambaye ni mwanablogu mkubwa na sasa ni mbunge anasema:

English

jeff ooi, who is a prominent blogger and now a member of parliament says:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

muswada huu unaonekana kuwa muhimu kwa mujibu wa mbunge davidi bahati aliyeuleta.

English

this bill is deemed necessary according to the mp david bahati who introduced it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

upotoshaji wenye akili –mbunge bandia wa uganda akitoa tamko la haraka haraka

English

a clever spoof - fake ugandan delegate makes impassioned statement

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mbunge huyo baadae alieleza kwamba alikuwa amepotoshwa na picha bandia zilizokuwa zinasambaa mtandaoni.

English

the lawmaker later explained that she was misled by fake images shared online.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

habari mpya: utambulisho wa ukweli wa mbunge huyu wa uganda umefunuliwa kwenye video hii hapa.

English

update: the true identity of the ugandan delegate is revealed in this video.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini, kwa sasa, watu wa usuk wameweka matumaini makubwa kwa mbunge huyu aliye na umri wa miaka 19.

English

for now the people of usuk have their hopes pinned on the 19 year-old mp.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

joy doreen biira amependekeza pawepo na mtu wa kumuelekeza msichana alomait mambo muhimu ambayo mbunge nayopaswa kujifunza:

English

joy doreen biira requests someone to teach ms alomait the basics she needs to learn as an mp:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hakuna atakayekupa kazi kwa kuzingatia wasifu kuwa ulikuwa “mbunge na bila kuzingatia vigezo vya kielimu”.

English

no one will give you a job with a cv with "ex-mp but no qualification".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

@joydoreenbiira: alengot oromait, msichana wa miaka 19 kwa sasa ni mbunge katika bunge la uganda.....

English

@joydoreenbiira: alengot oromait, 19 years old is now a mp in uganda....

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

daktari aye maung ambaye ni mbunge na rais wa chama cha rakhine nationalities development alihoji kuwa utoaji wa misaada unaweza kufanyika bila ya kuweka ofisi ya oic nchini:

English

dr. aye maung, a member of parliament and the president of the rakhine nationalities development party has argued that aid and donation can be delivered without setting up an oic office in the country:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ben taylor aweka mkusanyiko wa makala zinazohusiana na kuvuliwa madaraka kwa zitto kabwe,mbunge maarufu na kijana wa chama kikuu cha upinzani nchini tanzania, chadema.

English

ben taylor shares a collection of articles on the sacking of zitto kabwe, a popular young member of parliament with the main tanzanian opposition party, chadema.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

uchambuzi huo mahususi ulifuatiwa na mapandekezo kadhaa kutoka kwa mbunge mariela castro espín, ambaye ni msemaji anayekutana na wafanyakazi na wanaharaki kama sehemu ya mchakato wa wazi wa ushauri wa kiutaalamu wa muswada wa sheria.

English

that specific analysis was followed by several proposals from the parliament member mariela castro espín, who was the spokesperson with a set of approaches from workers and activists as part of the public consultation process of the drafting of the law.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akitoa maoni yake katika habari inayopatika katika tovuti ya monitor, nkuutu anashauri kuwa mbunge huyu azingatie kwenye masomo kwa kuwa anaweza kupoteza kiti cha ubunge muda wowote, hali itakayomlazimu kutafuta kazi:

English

commenting on a story on the monitor website, nkuutu urges advises the mp to concentrate on her studies, as the mp seat can be lost at anytime and she may have to look for a job:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,776,558,151 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK