Results for mcha mungu translation from Swahili to English

Swahili

Translate

mcha mungu

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mcha kimbolo

English

mcha symbol

Last Update: 2020-11-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na anaye mcha mwenyezi mungu humtengezea njia ya kutokea.

English

allah will find a way out for him who fears allah,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na wataambiwa walio mcha mungu: mola wenu mlezi kateremsha nini?

English

and (when) it is said to those who are the muttaqun (pious - see v. 2:2) "what is it that your lord has sent down?"

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa hakika wanao mcha mwenyezi mungu miongoni mwa waja wake ni wanazuoni.

English

but it is only those amongst his worshippers that fear allah who have knowledge.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na anaye mcha mwenyezi mungu atamfutia maovu yake, na atampa ujira mkubwa.

English

and whoso keepeth his duty to allah, he will remit from him his evil deeds and magnify reward for him.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na wataambiwa walio mcha mungu: mola wenu mlezi kateremsha nini? watasema: kheri.

English

and it was said to the pious, “what has your lord sent down?”

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hakika anaye mcha mungu na akasubiri, basi mwenyezi mungu haachi ukapotea ujira wa wafanyao mema.

English

he who practices piety and patience—god never fails to reward the righteous.”

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

furahia chakula chako cha mcha

English

enjoy your meal

Last Update: 2023-11-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ulikuwa mchapakazi , mcha mungu , mwenye kuipenda familia yako , ila mungu pekee ndiye anayejua juu ya kifo chako baba angu

English

ulikuwa mchapakazi , mcha mungu , mwenye kuipenda familia yako , ila mungu pekee ndiye anayejua juu ya kifo chako baba angu

Last Update: 2024-12-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hakika wanao mcha mwenyezi mungu miongoni mwa waja wake ni wanazuoni. hakika mwenyezi mungu ni mwenye nguvu, mwenye kusamehe.

English

even so only those of his servants fear god who have knowledge; surely god is all-mighty, all-forgiving.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huyo malaika aliyesema hayo alipokwisha kwenda zake, kornelio aliwaita watumishi wawili wa nyumbani na mmoja wa askari zake ambaye alikuwa mcha mungu,

English

and when the angel which spake unto cornelius was departed, he called two of his household servants, and a devout soldier of them that waited on him continually;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"huko kulikuwa na mtu mmoja aitwaye anania, mtu mcha mungu, mwenye kuitii sheria yetu na aliyeheshimika sana mbele ya wayahudi waliokuwa wanaishi damasko.

English

and one ananias, a devout man according to the law, having a good report of all the jews which dwelt there,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hivyo ndivyo anavyo agizwa anaye muamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho. na anaye mcha mwenyezi mungu humtengezea njia ya kutokea.

English

with that is admonished he who believes in allah and the latter day; and whoever is careful of (his duty to) allah, he will make for him an outlet,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati huo huko yerusalemu kulikuwa na mtu mmoja, mwema na mcha mungu, jina lake simeoni. yeye alikuwa akitazamia kwa hamu ukombozi wa israeli. roho mtakatifu alikuwa pamoja naye.

English

and, behold, there was a man in jerusalem, whose name was simeon; and the same man was just and devout, waiting for the consolation of israel: and the holy ghost was upon him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

miongoni mwa wale waliotusikiliza alikuwa mwanamke mmoja mcha mungu aitwaye ludia mwenyeji wa thuatira, ambaye alikuwa mfanyabiashara ya nguo za kitani za rangi ya zambarau. bwana aliufungua moyo wake hata akayapokea yale maneno paulo aliyokuwa anasema.

English

and a certain woman named lydia, a seller of purple, of the city of thyatira, which worshipped god, heard us: whose heart the lord opened, that she attended unto the things which were spoken of paul.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wao wakamjibu, "jemadari kornelio ambaye ni mtu mwema, mcha mungu na mwenye kuheshimika mbele ya wayahudi wote ametutuma. aliambiwa na malaika mtakatifu akualike nyumbani kwake ili asikilize chochote ulicho nacho cha kusema."

English

and they said, cornelius the centurion, a just man, and one that feareth god, and of good report among all the nation of the jews, was warned from god by an holy angel to send for thee into his house, and to hear words of thee.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,897,287,769 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK