From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mchango wa harusi
wedding contribution
Last Update: 2020-06-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
msamiati wa harusi
the ladies was as beautiful as the sunset
Last Update: 2021-09-01
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mchango wa baba yake ester
contributions for esther's father
Last Update: 2023-01-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tutaimba wimbo wa harusi yetu, leo tunasherehekea.
we will sing our wedding song, today we are celebrating.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
shukrani kwa serikali kwa mchango wa raia waishio ughaibuni
s/o to my government for that dispora donation #2010memories pic.twitter.com/mugzcdqslv — vha musanda (@freedom_ride) june 11, 2015
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hivyo ugawe kulingana na mchango wa mtu, thamani ya kazi yake.
so will have to share in accordance with one's contribution, the value of his work.
Last Update: 2013-05-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
vipindi vya televisheni anavyoviandaa vinaonesha mchango wa dhati wa wasichana katika jamii endapo watapewa nafasi.
her shows highlights the potential contributions to society that girls can make if provided an equal playing field.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
utata wa harusi ya shoaib malik na sania mirza imewaamsha watu wa pande zote mbili za mpaka wa india na pakistani.
the shoaib malik and sania mirza wedding controversy has been an awakening for people on the both sides of the india, pakistan border.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
benki ya dunia ilichapisha tafiti kuhusu mchango wa wahamiaji katika uchumi wa nchi zao za asili kwa njia ya utumaji pesa kutoka nje.
the world bank published a study about immigrants' contribution to the economy of their native countries through remittances from abroad.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the art of ama ata aidoo, inasaili mchango wa kisanii wa mmoja wa waandishi wanawake mashuhuri barani afrika, anayeongoza kizazi hiki kwa kipaji kipya cha pekee.
the art of ama ata aidoo, explores the artistic contribution of one of africa's foremost women writers, a trailblazer for an entire generation of exciting new talent.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
si kwamba sitambui mchango wa mj katika muziki na kipaji chake kikubwa, nitakuwa mwenye welewa mdogo kwa kufanya hivyo, lakini ninashangazwa iweje hatuumizwi tunapoona vifo dunia nzima.
not that i don’t recognise mj’s contribution to music and his great talent, i would be naïve to do so, but i wonder why we no longer get the shock when we see death around the world.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
akichambua mchango wa jumla wa obama katika maendeleo ya afrika, tolu alimwona obama kama mtu "apuuziaye mambo kwa namna chanya" anapomfananisha na mtangulizi wake bush.
looking at obama's overall contribution to africa's development, tolu considered obama "positively neglectful" when comparing him to the bush administration.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wakati kuvuja damu kwenye usiku wa harusi bado ni ushahidi wa heshima ya bibi harusi nchini misri na nchi za mashariki ya mbali, radio uholanzi imetangaza tafsiri ya kiarabu ya tangazo la kichina la kifaa cha ngozi nyembamba ya kutengenezwa yenye kurudisha ubikra wa mwanamke.
while bleeding on the wedding night is still the proof of the bride's honor in egypt and middle eastern countries, radio netherlands broadcast an arabic translation of the chinese advertisement of the artificial virginity hymen kit.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kama ilivyoelezwa katika taarifa hiyo, sababu kubwa ya kushindikana kutekelezwa kwa sheria hii mpya ni kukosekana kwa mawasiliano mazuri kati ya wizara ya kazi na sera ya kijamii, piom na pro, sheria inayowataka wafanyakazi walioajiriwa na mwajiri zaidi ya mmoja kutoa mchango wa pensheni pamoja na bima ya ulemavu.
as stated in the notice, the reason for this is the lack of coordination of the ministry of labor and social policy, piom and pro regarding the new law, which provides freelancers to also pay pension and disability insurance.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
umma wa waarabu unaamini kwamba starbucks ya marekani hulipatia jeshi la israeli, idf mchango wa mwaka kutokana na ukweli kwamba mwanzilishi wa starbucks ni myahudi, na nikitaka kuwa mkweli, ukweli huo hautoshi kufikia hitimisho kwamba kampuni hiyo hutoa michango kwa jeshi la israeli, lakini habari kama hizi zinaufanya umma wa waarabu kufikiri mara mbili.
of course the arabic public is convinced that starbucks in america gives annual donation to the idf due to the fact that founder and the owner of starbucks is a jew, to be honest this is not enough to draw a conclusion that the chain donates to the idf but news like that one makes the arab public thinks twice.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ndugu muhojiwa. sisi ni wanafunzi kutoka tengeru taasisi ya maendeleo ya jamii (ticd) kutafuta diploma ya kawaida ya maendeleo ya jamii. tunaomba utusaidie kuwezesha kukamilika kwa kazi yangu ya utafiti ambayo ni sharti au utimilifu wa sehemu ya diploma yoyote ya kawaida ya maendeleo ya jamii. madhumuni ya dodoso hili ni "kutathmini mchango wa asasi za kiraia ili kushawishi usawa wa kijinsia" ingetathmini sana msaada wako katika ans
dear respondent. we are students from tengeru institute of community development (ticd) pursuing ordinary diploma of community development. we are kindly request you to assist us to facilitate the completion of my research work which is prerequisite or partial fulfillment of any ordinary diploma of community development. the purpose of this questionnaire is “to assess the contribution of civil society organizations to influence gender equality” would very much appraise your assistance in ans
Last Update: 2022-10-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting