Results for meupe translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

macho yake yalikuwa meupe kama malaika

English

you are very interesting

Last Update: 2022-04-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na macho yake yakawa meupe kwa huzuni aliyo kuwa akiizuia.

English

and he lost his sight because of the sorrow that he was suppressing.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

masikini yusuf! na macho yake yakawa meupe kwa huzuni aliyo kuwa akiizuia.

English

and he turned away and said: 'alas for joseph' his eyes turned white with the grief he repressed within him.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alipokuwa akisali, sura yake ilibadilika, mavazi yake yakawa meupe na kung'aa sana.

English

and as he prayed, the fashion of his countenance was altered, and his raiment was white and glistering.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

majeshi ya mbinguni yalimfuata yakiwa yamepanda farasi weupe na walikuwa wamevaa mavazi ya kitani, meupe na safi.

English

and the armies which were in heaven followed him upon white horses, clothed in fine linen, white and clean.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mmoja wa hao wazee akaniuliza, "hawa waliovaa mavazi meupe ni watu gani? na wametoka wapi?"

English

and one of the elders answered, saying unto me, what are these which are arrayed in white robes? and whence came they?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

akawaona malaika wawili waliovaa mavazi meupe, wameketi pale mwili wa yesu ulipokuwa umelazwa, mmoja kichwani na wa pili miguuni.

English

and seeth two angels in white sitting, the one at the head, and the other at the feet, where the body of jesus had lain.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wingu jeupe liligubika eneo lote la maegesho na mtu ungeweza kuona mazimwi meupe yakiibuka kutoka kwenye vumbi, kila mmoja akiwa katika mhamaniko mkubwa.

English

a white cloud swept across the parking lot and you could see zombies whitened by dust appearing, in complete panic.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kulikuwa na duara la viti ishirini na vinne kukizunguka kiti cha enzi, na juu ya viti hivyo wazee ishirini na wanne walikuwa wameketi wamevaa mavazi meupe na taji za dhahabu vichwani.

English

and round about the throne were four and twenty seats: and upon the seats i saw four and twenty elders sitting, clothed in white raiment; and they had on their heads crowns of gold.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kikundi cha wanawake kijiitacho ‘wanawake wavaliao mavazi meupe’ (ladies in white) kwa mara nyingine wametawala fikra za wanablogu wa cuba waishio nje ya nchi.

English

the ladies in white (las damas de blanco) are again top of mind with cuban diaspora bloggers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nami nikamjibu, "mheshimiwa, wewe wajua!" naye akaniambia, "hawa ni wale waliopita salama katika ule udhalimu mkuu. waliyaosha mavazi yao katika damu ya mwanakondoo, yakawa meupe kabisa.

English

and i said unto him, sir, thou knowest. and he said to me, these are they which came out of great tribulation, and have washed their robes, and made them white in the blood of the lamb.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,902,566,056 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK