Results for mfungo, mfungo translation from Swahili to English

Swahili

Translate

mfungo, mfungo

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mwanaharakati wa ufalme wa saudia ambaye pia ni mtumiaji twita, reema al joresh, alitiwa mbaroni kwa muda mfupi mapema leo wakati alipokuwa anaelekea kwenye msikiti kusherehekea sikukuu ya idi el fitr — ambayo ni maalumu kwa waislamu mara baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.

English

saudi activist and twitter user, reema al joresh, was briefly arrested earlier today (august 19, 2012) when she was on her way to a mosque to celebrate eid al-fitr, the muslim holiday that follows ramadan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa siku za kwanza za mwezi wa ramadhani, mwezi mtukufu wa kufunga kwa waislamu, vikosi vya polisi vilivamia makazi ya watu na kuwakuta vijana 11 wakipata daku (chakula cha usiku kinacholiwa na waislamu kabla ya kuendelea na mfungo kwa siku inayofuata), shughuli ambayo inapofanywa na kundi la watu, huonekana kukiuka sheria ya mkutano kama baadhi yao walivyobashiri.

English

with the early days of the month of ramadan, the holy month of fasting for muslims, police forces raided a house where a group of 11 young men were having a sahoor (an end of night meal muslims take before fasting for the day) party, apparently for violating the laws of gathering as some speculate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,634,181,997 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK