Results for mgogoro translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mgogoro

English

the conflict

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mgogoro wa ardhi

English

mgogoro wa ardhu

Last Update: 2022-10-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mgogoro wa kikabila?

English

ethnic conflict?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huu si mgogoro (tu) wa kikabila :

English

this is not (just) about ethnic conflicts :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mgogoro wa syria unawadhuru watoto milioni 2.

English

the crisis in syria affects 2 million children.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

serikali ya irani yautumia mgogoro wa gaza kukandamiza

English

iranian government uses gaza conflict to repress · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pakistani haina maslahi yoyote kwenye mgogoro huo.

English

pakistan has no interests in that conflict.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na machafuko yanayoendelea ni mgogoro wa kikabila ama la?

English

is the crisis in the country an ethnic conflict?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hii itapelekea mgogoro miongoni mwa watu na pia katika jeshi.

English

this is to divide the people and the army.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vijana wa kiyahudi na kipalestina watumia video kuuelewa mgogoro

English

israeli and palestinian youth use video to understand the conflict · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

india: mgogoro wa mtambo wa nyuklia wa kudankulam waendelea.

English

india: conflict over kudankulam nuclear power plant continues · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

habari za kweli kuhusu mgogoro wa balochistani ni ngumu kuthibitika.

English

facts about the balochistan conflict are hard to verify.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tovuti ya lhuvuka ina makala ambayo imekusanya madai kati katika mgogoro huo

English

lhuvuka's website has an article that claims the conflicts were summed up

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kujiuzulu kwake kutaleta ufumbuzi kwa kiasi fulani kwenye mgogoro wa kisiasa.

English

his resignation will partly solve the political crisis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

inaonekana kuwa hapakuwa na mipango yoyote ya kukabiliana na mgogoro ambao ulikuwa unatokota.

English

there appeared to be no real plan to deal with the brewing conflict.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwanza, ni lazima watu wayasahau au kuyatahadhari maneno yanayotumiwa na wahusika wa mgogoro.

English

first, one should forget, or at least treat with caution, the wording employed by the actors involved the crisis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

3) ufaransa haikuonekana kuvutiwa na jitihada za mazungumzo ya amano kabla ya mgogoro.

English

3) france did not seem overly interested in peace negotiations before the conflict.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

2011 januari: chadema chaongoza maandamano jijini arusha na kuingia kwenye mgogoro na polisi.

English

2011 january: chadema lead demonstration in arusha conflicts with police

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jambo moja li wazi: mgogoro huu hautatatuliwa ila kwa upatanishi wa kupangwa kati ya rais kiir na riek machar.

English

one thing is clear: there is no end to this crisis other than some kind of mediated compromise between president kiir and riek machar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

anasema mabishano kuhusu vuvuzela yamegeuka “sawa tu na mgogoro wa ukoloni mambo-leo”:

English

he says that the debate around the vuvuzela has become "almost a neo-colonial conflict":

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,788,874,520 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK