Results for mhitimu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

sopheap chak ni mhitimu wa masomo ya amani katika chuo kikuu cha kimataifa cha japan.

English

sopheap chak is a graduate student of peace studies at the international university of japan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

manuella maia ribeiro ni mhitimu wa hivi karibuni kutoka chuo kikuu cha são paulo alikosoma menejimenti ya sera ya umma.

English

manuella maia ribeiro is a recent graduate of public policy management from the university of são paulo, brazil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii ni kwa sababu, kama tutawaruhusu npp kuendelea kutuambia, itakuwa kama mhitimu wa chuo kikuu kusahihishwa na watoto wa darsa la sita.

English

this is because, if we allow the npp to continue to tell us, it would be like a university graduate being corrected by class six pupils.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zelalem alikuwa mhitimu katika kitivo cha sheria katika chuo kikuu cha addis ababa na pia alikuwa akifundisha masual ya sheria katika chuo kikuu cha ambo.

English

zelalem was a graduate student at the school of law of addis ababa university, and also taught law at ambo university.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na hivyo ndivyo ninavyojaribu kuwa katika blogu hii – kijana mwenye asili ya kiethiopia na kimarekani, mhitimu (aam, anayetarajia) kuhitimu mafunzo ya chuo, anmbaye anajaribu kuijua nafasi yake katika na kupata msingi katika maisha, ambaye anaweza kuchangia senti mbili za mawazo kila inapowezekana.

English

so that’s who i’ll try to be for this blog– a young ethiopian-american, recent (well, in the works) college grad, trying to figure out my place and get my grounding in life, who can put in her two cents every now and then.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,167,036,940 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK