From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
watu wa misri wanao ufahamu wa kutosha kuhusu mambo yao na haifai kwa mhubiri huyu kujiajiri kama mlezi wa wa-misri.
the people of egypt are more knowledgeable of their affairs and it is of bad taste for this preacher to employ himself as a guardian over egyptians
basi, watamwombaje yeye ambaye hawamwamini? tena, watamwaminije kama hawajapata kusikia habari zake? na watasikiaje habari zake kama hakuna mhubiri?
how then shall they call on him in whom they have not believed? and how shall they believe in him of whom they have not heard? and how shall they hear without a preacher?
(david oyedepo) ni mwandishi wa vitabu vya kikristo nchini naijeria, mhubiri, mwasisi na askofu mkazi wa kanisa liitwalo “living faith church world wide” (tafsiri isiyo rasmi: kanisa la imani hai ulimwenguni) linalojulikana pia kama winners chapel (kanisa la washindi) na lililoanzisha makanisa yaliyoenea duniani kote yajulikanayo kama winners chapel international, yenye makao yake makuu kwenye jimbo la ogun , nchini naijeria.
a nigerian christian author, preacher, founder and presiding bishop of living faith church world wide also known as winners chapel and its affiliated international churches known as winners chapel international, with headquarters in ogun state, nigeria.