Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
maana ya neno miamala
meaning of the word transactions
Last Update: 2023-03-29
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
safaricom ilikuwa kampuni ya kwanza nchini kenya kutoa huduma ya miamala ya kibenki.
safaricom was the first company in kenya to offer mobile money transfers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chini ya mpango wa ges, tuliwezesha wakulima kufanya miamala ya kibiashara kwa kutumia lugha zao za kiasili kwa kutumia simu za mkononi.
under the ges scheme, we made it possible for farmers to transact business in their own local languages using their cell phones.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kutokana takwimu tulizozikusanya kwa kuangalia namna wakulima wanavyotumia simu za mkononi kupata mbolea na mbegu kwa mwaka jana, tuligundua kwamba idadi ya miamala iliyofanywa kwa njia ya simu katika mpango wa ges ilifikia 4,900,000.
from data we collected based on farmers’ use of cell phones to access fertilizers and seeds last year, we found that the total number of transactions done by phone with respect to the ges scheme was 4.9 million.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwezi machi 2014 yatakuwa ni maadhimisho ya miaka saba tangu m-pesa, huduma ya kufanya miamala ya kifedha kwa njia ya simu na huduma ndogo za kibenki, ilipoanzishwa kenya na kampuni ya simu za mkononi iitwayo safaricom.
march 2014 marks seven years since m-pesa, a mobile-phone based money transfer and micro-finance service, was introduced to kenya by telecoms company safaricom.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: