Results for mifumo translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mifumo kadhaa ya kuunda proramu za kutafuta watu waliotangamana imetengenezwa.

English

several frameworks for building contact tracing apps have been developed.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa nchi nyingi za ki-afrika, mifumo ya ustawi wa jamii bado inaendelea kukua.

English

for the majority of african countries, social welfare systems are still evolving.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuanzia hapo, tumeanza kufikiri namna watumiaji na wasimamizi wa mifumo ya mtandao wanavyoweza kuwezesha ufuatiliaji huu.

English

from there, we started to think about how both users and system administrators facilitate censorship.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuwa nchi zote zilizoendelea zinatofautiana sana kwa mifumo yao ya utawala (na uwasilishaji wa huduma za jamii)

English

that all developed countries differ greatly in their systems of governance (and the presentation of social services)

Last Update: 2013-12-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

gnome ni dawati huru, imara, na yenye utumishi mkubwa inayotumika katika os zinazo fuata mifumo ya unix.

English

gnome is a free, usable, stable, accessible desktop environment for the unix-like family of operating systems.

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huduma za rcgp rsc zimeshauriwa kuhusu usimbaji wa kimatibabu ambao unapatikana kwa ajili ya covid-19 katika mifumo yote ya cmr.

English

the rcgp rsc practices have been advised on the clinical coding that has been made available for covid-19 across all cmr systems.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata kama huna cha kuficha, kutumia zana hii kunalinda faragha ya watu unaowasiliana nao, na kufanya iwe vigumu kwa mifumo inayofuatilia mawasiliano ya watu kufanikiwa.

English

even if you have nothing to hide, using encryption helps protect the privacy of people you communicate with, and makes life difficult for bulk surveillance systems.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

familia za warumi zimejikuta mashakani: ulaya, inayostahimili kuzorota kwa hali ya maisha, inawakataa, na mifumo ya kimafia inazidi kutajirika

English

these families are caught between a rock and hard place: a declining europe that rejects them and the mob that is getting richer

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa maoni yangu, dini ya kweli haipaswi kufumbia macho maovu, ukandamizaji, unyonyaji, ukoloni katika mifumo yake yote pamoja na maovu mengine.

English

in my opinion, true religion must not be indifferent to injustices, oppression, exploitation, colonialism in all its forms and other vices.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

aparna ray kwa taaluma yeye ni mshauri anayejitegemea kuhusu utafiti yakinifu na anapenda sana kujifunza kuhusu watu, tamaduni, jamii na vyombo vya habari vya kijamii pamoja na mifumo ya kompyuta ya kijamii.

English

aparna ray is an independent qualitative research consultant by profession who is keenly interested in people, cultures, communities and social media/software.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuhamisha kingamwili zilizochapishwa na zilizokolea zilizozalishwa na mifumo ya kinga ya mwili ya watu waliopona kutokana na covid-19 kwa watu wanaozihitaji kunachunguzwa kama njia isiyo amilifu ya kinga ya mwili isiyo ya chanjo.

English

transferring purified and concentrated antibodies produced by the immune systems of those who have recovered from covid-19 to people who need them is being investigated as a non-vaccine method of passive immunisation.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika barua ya wazi aliyoandikiwa waziri mkuu, malgache kolo roger, asasi ya lcdmf ilisisitiza umuhimu wa kukabiliana na tatizo hili na hususani katika maeneo yaliyosahaulika na yasiyo na mifumo ya kisasa ya utoaji wa huduma ya afya:

English

in an open letter to prime minister malgache kolo roger, lcdmf stressed the importance of treating this problem, especially in isolated regions without modern health facilities:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kampuni za utengenezaji mifumo inayoendesha kompyuta na majengo ya mabunge sehemu mbalimbali duniani bado yanatawaliwa na wanaume, lakini jambo hili sasa linabadilika kwa kasi kubwa, yote ni kwa sababu ya kizazi kipya cha wanawake wanateknolojia, wanaharakati na wanasiasa.

English

software companies and parliamentary buildings around the world are still mostly dominated by men, but this is changing quickly thanks to a new generation of women technologists, activists, and politicians.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

utafiti mwingi wa kipindi hiki ulikuwa wa umuhimu wa kudumu, sio tu kwa mt lakini pia kwa lugha za kiakili na akili ya bandia - haswa, maendeleo ya dikteta za kibinadamu na za mbinu za uchambuzi wa maumbile - na vikundi vingi vya nadharia vilitoa mchango mkubwa kwa nadharia ya lugha. . walakini, lengo la msingi la mifumo ya kujenga yenye uwezo wa kutoa tafsiri nzuri haikufikiwa. matumaini yalikuwa juu, kulikuwa na utabiri mwingi wa imminen

English

much of the research of this period was of lasting importance, not only for mt but also for computational linguistics and artificial intelligence — in particular, the development of automated dictinaries and of techniques for syntactic analysis — and many theoretical groups made significant contributions to linguistic theory. however, the basic objective of building systems capable of producing good translations was not achieved. optimism had been high, there were many predictions of imminen

Last Update: 2019-12-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
9,169,998,604 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK