Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
baada ya kushinda dhidi ya uholanzi kwa mikwaju ya penati 4-2 mnamo julai 9, ajentina inasonga mbele kufikia fainali kwa mara nyingine ikipambana na ujerumani siku ya jumapili, julai 13 katika uwanja wa estádio jornalista mário filho,ukifahamika zaidi kama maracanã.
after winning against the netherlands in a penalty shootout 4-2 on july 9, argentina will advance to the final once again and dual germany for the title on sunday, july 13 in the estádio jornalista mário filho, better known as the maracanã.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: