Results for misitu translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

misitu

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

matumizi ya misitu

English

use of forests

Last Update: 2015-08-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

usimamizi wa misitu na uhifadhi wa asili

English

bee keeping development operation

Last Update: 2024-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maombi ya kujitolea kufanya kazi kama afisa misitu

English

application to volunteer to work as a forest officer

Last Update: 2024-03-19
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

misitu ya madagascar inateketezwa kwa $460,000 kwa siku

English

madagascar's forests decimated for $460,000 a day · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kilimo cha kukata na kuchoma kimesababisha zaidi upoteaji wa misitu kunakotokana na vitendo vya binadamu.

English

slash and burn agriculture has caused much of the anthropogenic deforestation of the region.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

asasi isiyo ya kiserikali vakanala imetengeneza onyesho la pande 3 la moto katika misitu inayoiathiri madagascar:

English

the ngo vakanala has produced a remarkable 3d real time visualization of the numbers of bush fires affecting madagascar:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ninaota juu ya majangwa makubwa, juu ya misitu yetu, ya maisha yote yanayoendelea kwenye nyika na mapori yetu.

English

i dream of our vast deserts, of our forests, of all our great wildernesses.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siku mbili baadaye, 12 katika wale askari wa doria waliokuwa wakikimbia katika misitu waliokolewa na kupelekwa goma. .

English

two days later, 12 of the 53 rangers that had to flee into the forest were rescued and brought to goma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sunset over selungo ni filamu ya dakika 30 inayoonesha namna kabila la wenyeji la penan linavyopigania kutunzwa kwa misitu ya asili kwenye kisiwa cha borneo nchini malaysia.

English

sunset over selungo is a 30-minute film documenting how the indigenous penan tribe is defending the remaining rainforest of borneo island in malaysia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

uchomaji wa misitu ni unasemekana kusababishwa na shughuli za kilimo cha mashamba makubwa ya mafuta ya mawese, makubaliano ya uuzaji wa kuni, na mashamba ya mashapo.

English

the burning of forests is blamed on the operations of oil palm plantations, wood suppliers’ concessions, and pulpwood plantations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwezi machi, serikali mpya dhaifu ya andry rajoelina ilitoa amri za haraka zinazoruhusu uvunaji na usafirishaji nje wa magogo kutoka kwenye misitu inayohifadhiwa na maeneo ya hifadhi za historia duniani.

English

after a coup in march, the new and weakened government of andry rajoelina issued sweeping decrees allowing the harvest and export of wood from protected forests and world heritage sites.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

misitu imekuwa ikihifadhiwa kwa ajili ya vizazi, shukrani kwa juhudi za watu walioishi kwa amani na ulimwengu uwazungukao, hali iliyochangiwa na maarifa ya mababu zao ya umilikaji wa rasilimali pamoja na ushiriki hai wa kila jamii.

English

the forest has been preserved for generations, thanks to the work of people who have lived in harmony with the world around them, by means of ancestral knowledge of resource management and active participation of each community.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

serikali ya obama imeshutumu serikali hiyo isiyo rasmi, na jumuiya ya hifadhi za wanyamapori, mfuko wa wanyamapori duniani pamoja na shirika la conservation international yameshutumu vikali uvunaji wa jumla wa baadhi ya misitu yenye mimea mingi tofauti na kuteketezwa kwa nyenzo za maisha za watu wa eneo hilo

English

the obama administration has condemned the de facto government, and the wildlife conservation society, the world wildlife fund (wwf), and conservation international have denounced the wholesale exploitation of some of the world's most diverse forests and decimation of the local population's resources and livelihoods

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati mataifa ya dunia yanakutana leo huko copenhagen kwa ajili ya mkutano wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabianchi, madagascar, ambayo imekwishapoteza 90% ya misitu yake ya asili, inakabiliwa na tishio la biashara ya magendo ya magogo.

English

as the world's nations gather today in copenhagen for the united nations convention on climate change, madagascar, having already lost 90% of its original forest, faces continued threats from black market logging.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hifadhi ya taifa ya laguna del tigre – hifadhi muhimu ya nchi nyevu na nchi misitu ya kavu ya kitropiki – kwa sasa inatishiwa sana na uvamizi wa binadamu, mlipuko ya moto isiyoweza kudhibitiwa, na uchimbaji wa mafuta.

English

the laguna del tigre national park - a critical reservoir of wetlands and tropical dry forest habitats - is currently threatened by human encroachment, out-of-control fires, and oil exploitation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,787,697,800 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK