Results for mkaa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

jiko la mkaa

English

charcoal stove

Last Update: 2021-10-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alijitolea; alihatarisha maisha yake kwa kuchoma mkaa ili apate ada ya shule.

English

he was enterprising; he risked his life to burn charcoal to raise his school fees.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kadhalika ni msanii waliyejifunza mwenyewe anayependa kufanya majaribio na kwa sasa anafanya kazi mkaa na rangi za chokaa.

English

he is also a self taught artist who loves to experiment and is currently working with charcoal and pastels.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baadae alijiunga na elimu ya sekondari ambapo ni mara chache sana alipata muda wa kufanya biashara yake ya mkaa, hivyo alilazimika kuwa fundi viatu, alikuwa akirekebisha viatu vya watoto shuleni.

English

then later he joined secondary school and could barely afford time to do his charcoal business so he became a cobbler, he used to repair shoes of kids at school.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa kusema kweli, inashangaza mno? nyie ndiyo hamwelewi, kama tulivyo tulio wengi, mampi ni binti wa kutoka wamukomboni , hamwezi kuniambia kwamba mlitumaini mampi afaye vizuri, tena nafikiri wiki 2-3 ni muda mrefu sana kwa mampi, yeye amezoea kuonyesha maungo yake ya siri hadharani na papo hapo mnajenga matumaini kwake, ninachosema ni kuwa kuna watu wanaojua kuonyesha tofauti kati ya maisha ya kuigiza na maisha ya kweli, lakini si mampi, yeye sanasana ni nusu mwanamuziki na nusu mkaa uchi hadharani, mungu ashukuriwe kwa sababu hatukuona makubwa kabla hajatolewa na kurudi nyumbani."

English

is it so surprising, honestly? u pipo u dnt get it, jst like most of us, mampi ni mwana wamukomboni , u can’t tel me u had hope 4 mampi, in fact 2-3 weeks was jst too much 4 mampi, she is used to showing her private parts in public and yet u expert the most such a one, i mean they are pipo who know the difference between acting and real life, but not mampi, she’s part time an musician and part time a public stripper, thanks god we did not see more before she could come back home. ”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,895,763,011 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK