From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mkoa wa maziwa makuu
great lakes region
Last Update: 2013-03-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
natokea mkoa wa tanga in arabic
located in arabic
Last Update: 2024-11-11
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga cha hubert upande wa kusini mashariki wa madagaska
flooding caused by tropical storm hubert in south east madagascar
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
israel - "waafrika wa kusini mwa jangwa la sahara si wabakaji"
israel - "sub-saharan africans are not rapists"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
tacloban ndiko lilikotokea janga la kimbunga cha haiyan kilichochukua maisha ya watu 6,000 kwenye mkoa wa visayas kusini.
tacloban is the "ground zero" of the typhoon haiyan disaster which claimed the lives of more than 6,000 people in the eastern visayas region.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
fatima anasema mtazamo hasi na wa jumla kwa waasia wa kusini utakoma katika miongo ijayo.
fatima says the south asian stereotypes will be shattered in coming decades.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
blogu maarufu ya waasia wa kusini ughaibuni sepia mutiny inaripoti maandamano yanayoendelea nchini kanada.
prominent south asian diaspora blog sepia mutiny reports on continuing protests in canada.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ninaguswa sana na taarifa za uvunjifu wa makusudi unaoendelea wa haki za wenyeji wa kusini magharibi mwa ethiopia.
i am extremely concerned about reports of deliberate, persistent, and serious abuses of the rights of indigenous peoples in southwestern ethiopia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kushirikiana katika shughuli mbalimbali ndani ya umoja wetu katika mkoa wa mwanza
Last Update: 2021-05-13
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sasa hivi tupo katika mkoa wa arusha na hali ya hewa ya huku ni tofauti na sehemu tunapo enda
we are now in the arusha region and the weather here is different from where we are going.
Last Update: 2024-10-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kisa cha kwanza cha sars kinaweza kufuatiliwa hadi mwishoni mwa 2002 katika mkoa wa gaungdong nchini china.
the first case of sars can be traced back to late 2002 in guangdong province of china.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati huu, kazi yao ni dhidi ya kuuawa kwa simba katika mkoa wa samburu, kenya.
this time, their artwork is against lion-killing in samburu, kenya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mamilioni ya watanzamaji wa kusini mwa asia huganda kwenye runinga zao kila jumapili wakati kipindi hicho kinapoenda hewani kupitia mitandao kadhaa ya binafsi na pia ile ya umma kwa pamoja.
millions of vieweres across south asia are glued to their tv sets every sunday as the show is being aired in various channels of private along with public networks simultenously.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
al octaviano, mkazi wa mkoa wa leyte, alisema kuwa mingi ya miili ya waliokufa hairipotiwi kwa mamlaka:
al octaviano, a resident of leyte province, said that many dead bodies are not being reported to authorities:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nimekuwa nikifundisha kwa miaka 10 katika mkoa wa trarza na sijawahi katika kipindi chote hicho kupata chini ya alama 17 katika tathmini ninayofanyiwa.
i have been teaching for 10 years in trarza region and never during those years have i got less then 17 points on my evaluation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mnamo tarehe 31 disemba 2019, kikundi cha visa vya nyumonia ambavyo vyanzo vyao havijulikani kiliripotiwa kule wuhan, mkoa wa hubei, china.
on 31 december 2019, a cluster of pneumonia cases of unknown aetiology was reported in wuhan, hubei province, china.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
madhumuni ya mkopo ni kuhusu watoto wangu wa kike, nina watoto mapacha wanaumwa homa ya ini na nahitaji mkopo ili waende hospitali ya bugando iliopo mkoa wa mwanza kwa ajili ya vipimo na dawa
the purpose of the loan is about my girlfriends, i have twin babies suffering from liver fever and i need a loan to go to the existing bugando hospital for the primary region for tests and medications
Last Update: 2018-01-09
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference: