From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mara ya kwanza nilikuwa nikitembea mtaani na kumwona mtu mwenye mkokoteni wenye matunda.
the first time i was walking down the street and saw a man with an apple cart.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwaka 2011, mkazi mwingine wa ghazni aliye na kipaji, bila hata ya kupata mafunzo yoyote au vifaa maalum, alipaisha ndege aliyoiunda kwa kutumia mabaki ya mkokoteni wa matairi mawili unaokokotwa na binadamu na pia kwa kutumia mabaki ya gari aina ya toyota iliyokuwepo katika bustani yake.
in december 2011, another talented resident of ghazni, without any special training or tools, flew an aircraft he had built from bits of rickshaw and a secondhand toyota car in his garden.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tukazungumza kwa kuvutana dakika chache na mwishowe akataka cfa50 zaidi (kama senti 10) na sikuweza kulipa na ndipo nikachukua mfuko wangu na kupakia matunda yangu na kuacha hela kwenye mkokoteni wake wakati sote tukicheka na kuondoka huku nikisema asante na kwamba ningerudi wakati mwingine (hii ni namna iliyozoeleka ya kumaliza mazungumzo nchini cameroon –kusema asante, wakati mwingine).”
we talked back and forth a few minutes and finally he wanted 50 more cfa (like 10 cents) and i wouldn't pay it and so i grabbed a plastic bag and bagged my own apples and left the money on his cart while we both laughed and i walked away saying thank you and that i would come back next time (this is a common way to leave a conversation in cameroon - saying thanks, next time)."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting