Results for msamaha wa kodi translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

msamaha wa kodi

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

msamaha wa vat

English

vat exemption

Last Update: 2024-02-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

msamaha wa penalt

English

tax exemptions

Last Update: 2019-11-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watapata msamaha wa mwenyezi mungu na kuruzukiwa kwema.

English

for them is forgiveness and noble provision.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni kweli, mashitaka hayo yalikuwa kichekesho na yalisahalika kwenye msamaha wa rais.

English

of course, the trial was a farce and they were forgotten in the pardon.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hiyo tuna vijana wanne kwenye kesi ya shura ambao hawajaufaika na msamaha wa rais.

English

so we have four young men in the shura case who were not included in the pardon.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pamoja na msamaha wa rais wa kuwaachilia huru wafungwa wa kisiasa, wafungwa hawa hawakuachiliwa huru.

English

despite a presidential pardon to release politicial detainees, those four prisoners were not spared.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kanisa la kisabia la orthodox taasisi zingine zote za kidini yana msamaha wa kutolipa kodi nchini serbia na mamlaka ya serikali ya kodi hawajawahi kukagua fedha ya jamii yoyote iliyosajiliwa kidini nchini humo.

English

the serbian orthodox church and all other religious institutions are exempt from taxes in serbia and state tax authorities have never inspected the finances of any registered religious community in the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

rushwa, mipango ya wizi, uhamishaji wa fedha haramu, ukwepaji wa kodi. orodha ni ndefu

English

bribery, racketeering, money laundering, tax evasion.the list is too long=783. #2010memories. — charlie langa (@charlielanga) june 11, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, biashara zake zinazotengeneza faida lazima zihusike na utaratibu wa kodi za makampuni na mapato nk #dominionair

English

howeva, its profit making ventures must b subject to company & income taxes etc. #dominionair

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na walio amini wakahama na wakapigana jihadi katika njia ya mwenyezi mungu, na walio toa mahala pa kukaa na wakanusuru, hao ndio waumini wa kweli. watapata msamaha wa mwenyezi mungu na kuruzukiwa kwema.

English

and (as for) those who believed and fled and struggled hard in allah's way, and those who gave shelter and helped, these are the believers truly; they shall have forgiveness and honorable provision.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

zunar amekuwa mkosoaji wa kodi mpya (gst) iliyobuniwa na serikali na anaiona kuwa ni mwendelezo wa hali ya juu wa vitendo vya ufisadi.

English

zunar has been critical of the new taxes (gst) imposed by the government and what he sees as continuing corruption in high places.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kimbilieni msamaha wa mola wenu mlezi, na pepo ambayo upana wake ni kama upana wa mbingu na ardhi, iliyo wekewa walio muamini mwenyezi mungu na mitume wake. hiyo ndiyo fadhila ya mwenyezi mungu, humpa amtakaye.

English

be ye foremost (in seeking) forgiveness from your lord, and a garden (of bliss), the width whereof is as the width of heaven and earth, prepared for those who believe in allah and his messengers: that is the grace of allah, which he bestows on whom he pleases: and allah is the lord of grace abounding.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pia jukwaa hilo linalenga kupigania upatikanaji wa huduma za usafiri katika maeneo ya makazi, msamaha wa kodi kwa ajili ya huduma kama magari au dawa, kuongeza utafiti wa magonjwa nadra, na kuboresha, miongoni mwa mambo mengine, afya, elimu, na kwa wale walioathirika kuchukuliwa vyema na jamii.

English

it also focuses on full accessibility in transportation and public spaces, total vat exemption for services like adapted vehicles or medicine, increasing research on rare diseases, and improving, among other things, health, education, and social inclusion of those affected.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

elimu ya watu wazima, elimu ya rasilimali watu, masomo ya utumizi uchumi, masomo ya mawasiliano na vyombo vya habari, masomo ya uchumi wa kimataifa na masomo ya sheria bado si kipaumbele cha serikali; na hivyo hakutakuwepo msamaha wa ada ya masomo kwa ajili ya wanafunzi watakaosoma masomo yaliyotajwa.

English

adult education, applied economic studies, communication and media studies, human resources studies, international economics and law are still not the government's favorites; there would be no tuition-free slots allocated for them.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa mujibu wa kifungu cha 28(1) cha sheria ya usimamizi wa kodi nam.7 ya mwaka 2009.mamlaka ya mapato zanzibar (zra) inatoa mualiko wa kikao cha pamoja baina ya mamlaka ya mapato zanzibar (zra) na uongozi wa pan africa development company(paddco). mamlaka inakuomba kufika katika ofisi yake ya mkoa wa kaskazini unguja ofisi ya kiwengwa , mnamo tarehe 13/05/2024 saa 5:00 asubuhi bila ya kukosa. kufika kwako ndio mafanikio ya kikao hicho.

English

in terms of section 28(1) of the tax administration act nam.7 of 2009, the zanzibar revenue authority (zra) is inviting a joint session between the zanzibar revenue authority (zra) and the leadership of the pan africa development company(paddco). authorities are asking you to reach his office in the northern province of zanzibar district office, on 13/05/2024 at 5:00 am without missing. your arrival is the success of the session.

Last Update: 2024-05-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,747,176,796 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK