Results for msimu wa kikupwe translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

msimu wa kikupwe

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ni msimu wa uchaguzi nchini naijeria.

English

it is election time in nigeria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu huu ni msimu wa homa ya mafua

English

because this is flu season

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, msimu wa hija ya mwaka huu utatishiwa na homa ya mafua ya nguruwe?

English

is this year's hajj season being threatened by the a/h1n1 or swine flu virus?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

virusi vinne kali vya korona hutokea wakati wa msimu wa baridi katika hali ya hewa ya wastani.

English

the four mild coronaviruses have a seasonal incidence occurring in the winter months in temperate climates.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wairani walisherehekea norouz (nowruz) kunako siku ya kwanza ya msimu wa kuchipuka mimea.

English

iranians celebrated norouz (nowruz) on the first day of spring as the traditional iranian new year holidays.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kazi yake iliyopata sifa zaidi ni ile ya riwaya ya mwaka 1966 “msimu wa kuhamia kaskazini.”

English

his most acclaimed work is the 1966 novel “season of migration to the north.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

eid al adha ama sherehe ya kutambika inahitimisha msimu wa hajj, ambao, mwaka huu umewakutanisha mahujaji milioni 2 kutoka nchi mbali mbali duniani.

English

eid al adha or the festival of sacrifice culminates the hajj season, which this year attracted 2 million pilgrims from around the world.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

virusi vya hcov-229e na hcov-oc43 vimeenea kote duniani, na huonekana kuenea zaidi wakati wa msimu wa kipupwe katika hali ya hewa kiasi.

English

both hcov-229e and hcov-oc43 are distributed globally, and they tend to be predominantly transmitted during the season of winter in temperate climate.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

amewahi kuandaa matukio mbalimbali likiwemo lile la barcamp transparency huko uingereza majira ya joto yaliyopita kule oxford, ambapo ana matumaini kwamba jambo hilo litafanywa katika nchi mbalimbali za ulaya msimu wa joto wa mwaka huu.

English

she has organized numerous events including barcamp transparency uk last summer in oxford, which she hopes will be replicated in other european countries this year.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika makala yenye kichwa“vita ya aina nyingine,” salisu suleiman aliandika kuhusu jinsi gani msimu wa uchaguzi ulivyoingilia mtiririko wa maisha ya kila siku:

English

in a post titled “a different kind of war,” salisu suleiman wrote about how the election season interrupts the business of daily life:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walisema kuwa wakati walimu huko israeli walikuwa na mgomo wakati wa msimu wa homa ya mafua ya 1999-2000, kutembelea madaktari na nambari ya maambukizi ya kupumua ilipunguka kwa zaidi ya humusi na zaidi ya humusi mbili mtawalia.

English

they noted that when teachers in israel went on strike during the flu season of 1999–2000, visits to doctors and the number of respiratory infections dropped by more than a fifth and more than two fifths respectively.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matukio mengi ya michezo zimefutwa au kuhairishwa, zikiwemo ligi ya mabingwa ya uefa ya 2019–20, ligi kuu ya 2019–20, uefa ya ulaya ya 2020, msimu wa nba ya 2019–20, na msimu wa nhl ya 2019–20.

English

most major sporting events have been either cancelled or postponed, including the 2019–20 uefa champions league, 2019–20 premier league, uefa euro 2020, 2019–20 nba season, and 2019–20 nhl season.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,787,385,368 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK