From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
msongo wa mawazo
depression
Last Update: 2016-03-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakuna msongo wa mawazo katika kiswahili
no man can stress
Last Update: 2023-10-11
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
huu ni muonekano wa matokeo ya mkusanyiko wa mawazo chanya.
this is an aesthetic outcome of collective positive thoughts.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
siasa ya watu ni kinyume na kutokutenda haki, kuwanyima uhuru wa mawazo na kuwakandamiza.
the peoples' politics is against injustice, repression and oppression.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mtiririko wa mawazo unaonekana kuwa huo, ni suala la waafrika kutatua matatizo yao wenyewe.
the trend of thought seems to be that, it is for africans to solve their own problems.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwendesha mashitaka wa serikali chico (@chiconob) anaendelea katika msimamo huo huo wa mawazo:
public prosecutor chico (@chiconob) continues along the same line of thought:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
muigizaji filamu wa bollywood ambaye pia ni mwanablogu amitabh bachchan anatoa mwanga wa mawazo yake kuhusu uchaguzi ujao wa india.
bollywood actor cum blogger amitabh bachchan offers a glimpse of his thoughts on the upcoming indian elections.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
makala yake pia inaonyesha ni kwa jinsi gani kufanya kazi katika mazingira yenye kusababisha msongo mkubwa wa mawazo na mazingira magumu kama hayo kunavyoweza kuathiri moyo wa kazi katika juhudi za kumaliza usafirishaji na unyanyasaji wa binadamu wengine.
his post also reveals how working a stressful and draining environment like this can affect the morale of those working to end human trafficking and abuse.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hata vivyo, rachna aliwakumbushas watumiaji wa mtandao wa intaneti wanaoshiriki kwenye midahalo ya kisiasa kuheshimu hali ya mgongano wa mawazo:
however, rachna reminded cambodian netizens participating in political debates to respect diverse views:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pamoja na hayo, dalili za maambukizi kama vile joto jingi mwilini, ukosefu wa hewa safi ya kutosha kwenye viungo vya mwili na kikohozi pamoja na athari mbaya za matibabu kama vile ukosefu wa usingizi unaosababishwa na dawa zinazopunguzwa hali ya kuchomeka kwa mwili yanaweza kusababisha wasiwasi na msongo wa mawazo.
furthermore, symptoms of the infection such as fever, hypoxia, and cough as well as adverse effects of the treatments such as insomnia caused by corticosteroids can lead to more anxiety and mental distress.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kama watoto wa namna hii watakutana na ubaguzi wa rangi (na matatizo mengine ya kimfumo), basi wana uwezekano mkubwa wa kukumbana na msongo, matatizo ya kiafya yanayohusiana na msongo wa mawazo, kama vile uvutaji sigara na matumizi ya madawa ya kulevya.
if children of interracial marriages encounter racism (and other structural disadvantages), then they’re more likely to experience stress, and health-related risks due to that increased stress, such as smoking and drinking.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
msongo wa akili: kama ilivofafanuliwa hapa juu, wakati wa mkurupuko wa covid-19 wagonjwa wengi waliugua kutokana na mfadhaiko usio wa kawaida kwa vile walistahimili vipindi virefu vya karantini na hali ya shauku na wakaona vifo vya wanafamilia wa karibu na wagonjwa wenzao.
mental stress: as described above, during the covid-19 outbreak many patients have suffered from extraordinary stress as they often endured long periods of quarantine and extreme uncertainty and witnessed the death of close family members and fellow patients.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na ndiyo, kama ilivyo kwenye maisha halisi, video hii ni halisi: wakati mwingi wa siku, wanawake na wanaume wa el salvador wanaoneka kuwa na furaha na kwa hakika hawana msongo wa habari mbaya zinazotangazwa kwenye taarifa za vyombo vya habari na kuzinya zionekane ni halisi kuliko ukweli unaonekana kwenye video hii.
and yes, as in real life, this is also real: during most of the day, women and men of el salvador are happy rather than distressed by the bad news that some media outlets report and pretend to make more real than the reality this video shows.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hassan ananiuliza kuhusu kitabu changu, "tiba asilia"; ninamueleza kuwa ni kitabu kinachohusu safari ya mtaalamu wa mahusiano ya viumbe na mazingira kutoka kwenye ugonjwa wa mawazo. "watu huugua ugonjwa wa mawazo kwenye nchi za magharibi?"
hassan asks me about my book, “nature cure”; i explain it is about an ecologist’s route out of depression.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting