From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mtaani
on the street
Last Update: 2021-03-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
vita vya mtaani.
street battles.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nguzo ya umeme mtaani
electric pole
Last Update: 2021-09-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kundi kubwa la watu wako mtaani.
a huge crowd on the street.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@moftasa: vita vya mtaani vinaendelea mjini alexandria.
@moftasa: street wars still going on in alexandria.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
vurugu zilizotokana na uchaguzi ziliwafanya maelfu kuingia mtaani.
electoral unrest has also motivated thousands out into the streets.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa hiyo, fikiria unasikiza muziki uupendao wa ala unavyotembelea mtaani.
so, just imagine you listen to your favorite instrumental music as you walk down the streets.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
serikali imekanusha kuwakamata watoto wa mtaani wakati wa ziara ya papa.
the government has denied detaining street children during the pope’s visit.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alaa na ahmed wamerudi mtaani...hii ni sentensi nzito kuliko zote duniani
alaa and ahmed are on the street .. this is the greatest sentence in the world
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mara ya kwanza nilikuwa nikitembea mtaani na kumwona mtu mwenye mkokoteni wenye matunda.
the first time i was walking down the street and saw a man with an apple cart.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
idadi kubw aya watu kwenye kisiwa cha hong kong imeendelea kuwepo mtaani siku nzima ya septemba 29.
traffic in hong kong island has remained paralyzed throughout the day of september 29.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa hiyo, unaweza kujikuta umepigwa risasi wakati unatembea mtaani," anasema janowitz.
so you could be walking down the street and catch a bullet," says janowitz.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
nilikutana na mtu mtaani leo asubuhi na yeye alikuwa ametokea eneo la jacmel ambalo lilipigwa vibaya na tetemeko.
met a man on the street this morning who comes from jacmel which was hit hard by the earthquake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ninataka kuona wakazi milioni tatu wa nairobi wakiingia mtaani kulia, kuimba na hata kukumbatiana kwa sababu watoto wetu wameuawa.
i want to see three million nairobians flood the streets to cry, and sing, and hug because our children have been killed.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kadhalika, kuna taarifa kwamba maafisa wa polisi waliwakamata na kuwaweka kizuizini baadhi ya watoto wa mtaani wakati wa ziara hiyo ya papa.
there are also reports that law enforcement officers detained several street children during the pope's public procession.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@willoegy raia milioni 33 waliingia mtaani walimtaka #morsi aachie madaraka na bado mnaita ni mapinduzi ya kijeshi?
@willoegy 33 million civilians in the streets urging #morsi to step down and you still call it military coup?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wamejifunza kwa makosa waliowahi kuyafanya: wametoa tahadhari ya kutokea tsunami, na kushauri watu kuondoka maeneo yenye hatari na tayari jeshi liko mtaani.
they learned from their mistakes: tsunami alert, evacuation and the army to the streets.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
miaka miwili iliyopita, makumi ya maelfu ya wa-masedonia yaliingia mtaani kuandamana dhidi ya umasikini na ufisadi kwenye nchi hiyo yenye idadi ya watu milioni mbili.
two years ago, tens of thousands of macedonians took to the streets to protest against poverty and corruption in their country of two-million.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
watu wana hasira na wamechoka, na mashirika ya habari mara nyingi huchapisha habari kuhusu uhusiano kati ya viongozi wa kisiasa na wezi wa mali za umma lakini hakuna anayezungumzia kuingia mtaani kuandamana kupinga ufisadi -hali isiyotarajiwa kwenye nchi ambayo watu hugomea kila kisichokwenda sawa
people are angry and tired, and media houses often publish news about the connection between political leaders and goons but no one takes to the streets to protest corruption – an anomaly for a country where people have nepal bandhs, country-wide strikes for every distress.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
siku ya tarehe 12 julai, 2013, mamia kadhaa ya wakazi wa jiangmen, jiji lililo jirani na guangzhou ya kusini nchini china, walifurika mtaani kuandamana kupinga mpango wa kuanzisha mtambo wa kuchakata uranium .
several hundred residents in jiangmen, a city near china’s southern guangzhou, took to the street to protest against a planned uranium processing plant on july 12, 2013.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: