Results for mtunza nyaraka translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

mtunza nyaraka

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

nyaraka

English

epistle

Last Update: 2014-03-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mtunza bustani

English

craftsman home builder

Last Update: 2018-12-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tulipeleka nyaraka kwenye bunge.

English

we presented a document to parliament.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

molly meek anachapa nyaraka yenye maelezo ya ilani ya pap.

English

molly meek publishes an annotated document of the pap manifesto.

Last Update: 2024-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ati kila mmoja katika wao anataka apewe nyaraka zilizo funuliwa.

English

aye! every one of them desireth that: he should be vouchsafed scrolls expanded.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tunakiri kupokea nyaraka zako za usajili na tunataka kukujulisha kuwa maombi yako yanashughulikiwa.

English

we acknowledge receipt of your documents for registration and wish to inform you that your application is being processed.

Last Update: 2022-10-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

inasemekana kwamba baraza hilo nalo limewasilisha nyaraka katika mahakama hiyo ya mambo ya katiba.

English

it is understood that cabinet has also lodged papers in the con court.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mmisri sandmonkey anaelezea uvujaji wa nyaraka hizo za za siri kama tukio “tukufu”::

English

egyptian sandmonkey describes the leaks as "glorious":

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwaka 2011, serikali ya muda ya tunisia ilipitisha amri 41 zinazomhakikishia yeyote upatikanaji wa nyaraka za kiutawala.

English

in 2011, tunisia's interim authorities passed decree 41 guaranteeing access to administrative documents.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maumivu ya kichwa ya uchaguzi, imekuja wikileaks (mvujo wa nyaraka za siri) na ******.

English

elections headache, wikileaks comes along and ******.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nimekuandikia waraka huu kukuomba kwamba uwe unatutmia nyaraka za malipo mapema ili tuwe tunapitia malalamiko ya mishahara kwa wakati na kuyawasilisha sehemu husika kwa ajiri ya utekelezeji

English

i have written this letter to you asking you to send us payment documents in advance so that we can review the salary complaints on time and submit them to the relevant section for implementation.

Last Update: 2021-10-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, takwimu na nyaraka zinaonyesha kuwa kardi ya wanawake laki tatu wa vijijini nchini humo walilazimishwa kufanywa wagumba kwa nguvu wakati wa kipindi hicho.

English

however, statistics and documents show that around 300 000 rural peruvian women were pressured into being sterilized during this period.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mashambulizi ya maoni kwenye twita yaliwafanya watumiaji wapendekeze alama (hashtag) mpya ili kujadili nyaraka zinazohusiana na ulimwengu wa kiarabu.

English

the onslaught of reactions on twitter made users suggest a new hashtag to discuss the documents related to the arab world.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nyaraka zilizofichuliwa na edward snowden zinaonyesha kwamba wametekeleza na hata kuhujumu teknolojia ya mtandao kwa upelelezi wa ngazi za kimataifa, si kwa minajili ya kupambana na ugaidi kama kama ambavyo imekuwa ikifanyika kwa upelelezi wa kibiashara.

English

the documents revealed by edward snowden indicate that they have implemented and even subverted internet technologies for spying on a global scale, not so much for the anti-terrorism fight as for commercial espionage.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mpaka hivi sasa sielewi ni kwa jinsi gani julian assange alivyoyapata nyaraka ¼ milioni za mawasiliano au ni kwa nini anayachapisha ukuzingitia ukweli kuwa amesababisha mgogoro mkubwa wa kidiplomasia sio tu kati ya marekani na mataifa mengine bali pia baina ya mataifa kwa mfano misri na qatar kama utakavyoona.

English

up till now i do not know how julian assange got these 1/4 million cables or why he publishes them considering the fact he has created a huge diplomatic crisis not between the u.s and other countries but also between countries themselves like for instance egypt and qatar as you will see.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kiongozi yeyote anayebeba nyaraka nyeti ya kumwezesha kusafiri kidiplomasia hapaswi, kwa wakati wowote ule, kubeba bendera ya kidini, achilia mbali kuhubiri imani zake za kidini katika nchi ya kigeni.

English

a representative who carries an official privileged diplomatic pass should not, at any time, harbor a religious flag, let alone preach his/hers religious beliefs on foreign soil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"kulipokuchwa, huyo mwenye shamba alimwambia mtunza hazina wake, waite wafanyakazi ukawalipe mshahara wao, ukianzia na wale walioajiriwa mwisho, na kumalizia na wale wa kwanza.

English

so when even was come, the lord of the vineyard saith unto his steward, call the labourers, and give them their hire, beginning from the last unto the first.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nyaraka kuhusu syria zilizotolewa na mradi wa vyombo vya habari vya vijana ziliripoti kuhusu kifo chake, na blogu ya habari nchini humo yalla souriya ilimwita kijana huyo kuwa "roho wa syria".

English

youth media project syrian documents reported on his death, and syrian news blog yalla souriya called him the "spirit of syria".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

endapo vyeti havina maana, ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote, hivi basi kwa nini waziri wa ahmadinejad alijihangaisha kutafuta walau cheti hicho feki ... na hii si mara ya kwanza ambapo rais ahmadinejad anaita (anakebehi) nyaraka muhimu kuwa ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote kumaanisha kwamba hayana maana.

English

if the certificates are useless, torn, paper why did ahmadinejad's minister pretend to have one... it is not the first time that ahmadinejad calls official documents torn papers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,777,071,901 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK