From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa mujibu wa wizara ya mambo ya nchi ya marekani:
according to the us state department:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini watendaji wa wizara hawakupendezwa na maoni yaliyokuwa hasi.
but ministry officials didn’t like the negative comments.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kila tovuti uliyoitembelea ilitengenezwa na watu wa wizara ya habari; kila moja.
all the sites you've ever visited were set up by creative individuals in the ministry of information; every single one.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katibu mkuu wa wizara ya afya nchini madagaska philémon tafangy alitambua hatari:
secretary general of the madagascar ministry of health philémon tafangy recognized the risk:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lengo la mfanyakazi huyo lilikuwa kupata maoni kutoka kwa watu kuhusu utendaji wa wizara hiyo.
the intention of the staff was to solicit feedback from the people about the performance of the ministry.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ni vyema pia kueleza kuwa maafisa wa wizara ya mambo ya ndani mjini andijan hawajatoa maoni yoyote.
it’s worth mentioning that interior ministry officials in andijan gave no comment.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jukwaa hilo la mtandaoni liliamsha majadiliano ya kusisimua, ambapo kulikuwa na ukosoaji wa kujenga kuhusu utendaji wa wizara hiyo.
the web forum generated an interesting discussion, including constructive criticism about the work of the ministry.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hii ni mara ya kwanza katika historia ya uganda kwamba mke wa rais anakuwa waziri, hata kama yeye ni waziri wa wizara ndogo tu.
it is the first time in uganda that a first lady is a minister, forget that hers is a junior portfolio.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa upande wake, kong rithdee, katika makala aliyochapisha kwenye blogu inayoitwa bangkok post, alishambulia vikali vitendo vya watendaji wa wizara hiyo.
kong rithdee, in his bangkok post blog, lambasted the reactions of the ministry officials
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
waziri wa malaysia wa wizara ya vijana na michezo, khairy jamaluddin, alisisitiza kuwa lawama zisielekezwe kwa ndege za malaysia kupita katika anga la ukanda ulio na mgogoro:
malaysian minister for youth and sports khairy jamaluddin stressed that blame should not be put on malaysia airlines for flying over a conflict zone:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ukurasa huo wa facebook pia ulikuwa ni kama jibu kutokana na mwitikio uliotiwa chumvi uliofanywa na wafanyakazi wa wizara hiyo kuhusu mtiririko mmoja wa mijadala ulioanzishwa na mfanyakazi mmojawapo wa wizara hiyo katika tovuti moja maarufu iitwayo pantip.
the facebook page was also a response to the exaggerated reaction of ministry officials to the discussion thread started by one of its staff workers on popular web portal pantip.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kutumia kigezo kuwa maombi ya kupata taarifa ndio sababu kubwa ya kuchelewesha malipo, waandamanaji wana lengo la kuonesha mapungufu ya utaratibu huu wa wizara ambao wengi wanaamini kuwa urasimu huu ni visingizio na kanuni zisizo na maana yoyote.
by submitting requests for access to information as to the reasons for the delay in payments, protesters aim to show the bureaucratic inefficiency of the ministry under what many say is an absurd pretext and absurd regulations.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika wiki ya kwanza ya mgomo, wakati msemaji wa wizara ya afya akisema kuwa vitengo vyote afya vilirejea hali ya kawaida, waandishi wa habari za kiraia na wale wa kujitegemea walisema kuwa kulikuwa vikwazo vingi katika baadhi ya vitengo vikubwa vya matibabu.
throughout the first week of the strike, as the spokesman of the ministry of health said that all health units had returned to normality, citizen and independent reporters stated that there were many restrictions in some of the major medical units.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
idusote ibukun, katibu mkuu wa wizara ya kilimo katika serikali ya shirikisho la nigeria, aliripotiwa akisema kuwa wizara hiyo lingetafuta fedha za kununua simu za mkono zipatazo milioni kumi zenye thamani ya n60 bilioni, kutoka china na marekani kwa ajili ya kuzisambaza bure kwa wakulima vijijini nchini kote.
ibukun idusote, permanent secretary, federal ministry of agriculture, was reported as saying that the federal ministry of agriculture would procure ten million mobile phones, worth about n60 billion, from china and the us for free distribution to rural farmers across the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pamoja na habari hizi mpya kutoka kwenye vyombo vya dola, kile hasa walichokuwa wakikishughulikia kilibaki kuwa utata, hata kwao, angalau kupitia kile walichokuwa wakikisema hadharani, kama ilivyowekwa wazi na katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani mutea iringo kupitiakauli yake kwa waandishi:
despite this update from the authorities, the nature of what they were responding to remained a mystery, even to them, at least based on what they were saying publicly, as revealed by internal security ministry permanent secretary mutea iringo's comments to reporters:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
waziri wa kilimo, dk akinwunmi adesina, amesahihisha maelezo ya ripoti ya katibu mkuu wa wizara, bi ibukun odusote, iliyosema kuwa simu za mkono zingeweza kununuliwa na serikali kwa gharama ya n60 bilioni, maelezo yake ni kwamba simu za mkono zitatolewa kwa wakulima kupitia ushirikiano wa umma na sekta binafsi ...
…the minister of agriculture, dr. akinwunmi adesina, has corrected the report that the permanent secretary of the ministry, mrs. ibukun odusote, said the phones would be bought by the government at the cost of n60 billion, his explanation that the phones will be supplied to farmers through public/private sector partnership…
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jaji mkuu mstaafu, waziri wa zamani wa wizara ya miundo mbinu, hivi sasa akifahamika kama mmiliki wa vibilioni vichache , bw andrew chenge alinaswa na kamera za bunge( cctv) siku chache zilizopita muda wa usiku katika ukumbi wa bunge akifanya jambo lililotiliwa mashaka makubwa.
what hon. joseph mbilinyi has done gives a really negative image of chadema and tanzanians as a whole. over on the blogosphere, a video clip from the television channel itv made the rounds, immortalizing the incident for eternity. via gongamx:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.