From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nitafanya hivyo muda mwingi
may god give you love and desire in life
Last Update: 2019-11-19
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
muda mwingi unalala bila kuniambia
a lot of time
Last Update: 2024-11-22
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
muda mwingi bila kuongea pamoja, mimi niko poa hapa
a lot of time
Last Update: 2025-01-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alitumia muda mwingi zaidi akizunguka-zunguka katika kiti cha spika.
he spent an especially long time hovering around the speaker's chair.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tunakaribisha michango kutoka mikoani hata kama hatuwezi kutumia muda mwingi kuwanukuu kama ambavyo tunafanya kwa wale walioko mji mkuu.
we always welcome contributions from provincial areas even though we cannot spend as much time covering them as we do major cities.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
muda mwingi, waandishi waliokuwa mstari wa mbele ndio wanaowajibika kwa mahojiano na kurekodi kile kinachotokea kwenye eneo la tukio.
most of the time, the reporters on the front-line are only responsible for interviews and recording what happens onsite.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati huo wa siku tatu baadhi ya walinzi walikuwa ndani ya chumba, lakini muda mwingi, wakati wauguzi walipowaomba kukaa nje ya mlango, walitii.
during the three days some of the guards stayed in the room, but most of the time, when the nurses asked them to sit outside the door, they complied.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ruhusa ya kwenda hospitali, halafu kuwa na ratiba iliyojaa muda mwingi na mwanao –ni afadhali kuliko kukaa kwenye seli ya magereza, wanadai.
hospital leave, then lots of scheduled time with your child – it is all better than sitting in a stone cell, they claim.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwaka moja tu ukiwa umebakia, ingawa, waangalizi wengi wanakubaliana kwamba nchi imeshinda mtihani huo; badala yake, walalamikaji wakubwa wanatumia muda mwingi kulalamikia chombo kinachoitwa vuvuzela.
with one year to go, though, most observers agree that the country will be pass that test. instead, the biggest complaints have centered on an instrument called the vuvuzela.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hii itazuia watoto kuwa kwenye nafasi ya kuamsha hisia zao za ngono bali pia itawapa wazazi nafasi ya kuwa karibu na watot wao, kuwa nao kwa muda mwingi, kuwaangalia kwa karibu kama inavyotakikana, na kukuza upendo…
this will prevent not only the exposure of children to the sensitivity of sex but it will also give the parents a better chance to bond with their kids, spending quality time, giving the necessary attention, love and care...
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ingawa muda mwingi huwa upo chini ya ardh, mara nyingine ubaguzi huo hunyanyua kichwa chake kibaya kwa namna ambayo si haiwezekani kutoonekana; habari hii ilitawala vichwa vya habari katika vyombo vya habari nchini kote marekani, na kusababisha makala za wanablogu kutokea kwenye jamii za sehemu hizo na zaidi.
although much of the time it lies beneath the surface, occasionally racism rears its ugly head in a way that is impossible to miss; this story made headlines across the united states, prompting blog posts from the local community and beyond.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sijutii hata siku moja kuwa na wewe rafiki angu. uwa muda mwingi nakuwaza wewe hata ikitokea niko na watu au hata mwenyewe. ni rafiki ulinifanya niwe bora sana yaani. umenipa mawazo yakujenga zaidi na umefanya nibaini kuwa watu wengi ni wanafiki. wana uso wakinafiki lakini moyoni hawakupendi. naamini wewe ni rafiki sahihi kwangu na uwa natamani ningekujua toka zamani. naomba mungu atujaalie tuweze kudumu.mimi ni binadamu na ninamapungufu na endapo ntakukosea naomba unisamehe nina amini nitakua nimepotoka.
i'm glad you're my friend
Last Update: 2024-08-17
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference: