From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mustakabali
the future
Last Update: 2021-04-22
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mustakabali wetu
the future belongs to those who create it in the moment ����❤️
Last Update: 2024-02-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nini mustakabali wa wamisri?
what does the future hold for egyptians?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mayawati: na kisicho na mustakabali.
mayawati: and no future.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nini mustakabali wa kongo-brazzaville?
what does the future hold for congo-brazzaville?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mustakabali uliojaa mafanikio na maendeleo.
a future full of achievements and development.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mustakabali wa kizazi kijacho uko wapi?
where is the future of the next generation?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ninashangaa, mustakabali wa china uko wapi?
i am wondering, where is china’s future?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wanafunzi wa syria kwa mustakabali borae.
syrian students for a better future.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
huu ni mustakabali wetu wa kulindwa. #ghanadecides
tis our destiny to protect. #ghanadecides
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
• kuwashirikisha wasingapori wote katika kutengeneza mustakabali wao
* involve all singaporeans in shaping our future
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mustakabali wako unakuhitaji, maisha yako ya zamani hayakuhitaji
don't let your past dictate your future
Last Update: 2023-11-21
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tukishirikiana na nchi jirani ita tengeneza mustakabali mzuri was biashara.
if we cooperate with the neighboring countries,it will create good future business.
Last Update: 2023-09-19
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@mar3e: muslim brotherhood hawatakuwa na mustakabali mzuri tena.
@mar3e: the muslim brotherhood will not have a future anymore.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ilani ya uchaguzi ya pap inaahidi mustakabali bora kwa kila mwananchi wa singapore
the pap manifesto promises a better future for all singaporeans
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
anaamini kwmaba kuna mustakabali mzuri kwa ujasiriamali na ubunifu nchini madagaskari.
he thinks that there is a bright future for entrepreneurship and innovation in madagascar.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kila kundi lina maoni yake, na linaamini katika muono wao kwa mustakabali wa nchi.
each group has its own opinion, and believes in its own vision for the future of the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
marekani: mustakabali usioeleweka kwa vuguvugu la maandamano ya kukaa ya wanafunzi huko california
usa: uncertain future of student occupy movement in california
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuwa mtanzania wa kisasa siku hizi ni kuwa mtu wa usiye na uhakika na vile mustakabali wako ulivyo.
to be a contemporary tanzanian at the moment is to be a person of great potential unclear about what the future holds for him.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika mtandao, wanablogu na watumiaji wa twita wanasherehekea na kutafakari kwa kina mustakabali wa tanzania.
online, bloggers and tweeps are celebrating and reflecting on the future of tanzania.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: