From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na haiwi muumini kumuuwa muumini ila kwa kukosea.
a believer may not kill another believer, unless it is by mistake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ati aliye muumini atakuwa sawa na aliye mpotovu?
can he, then, who is a believer, be compared to he who is wicked?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na atendaye mema naye ni muumini basi haitakataliwa juhudi yake.
so whoever does righteous good deeds while he is a believer (in the oneness of allah islamic monotheism), his efforts will not be rejected.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
miongoni mwenu yupo aliye kafiri, na yupo aliye muumini.
amongst you is an unbeliever and amongst you is a believer.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na mtumwa mwanamume muumini ni bora kuliko mshirikina hata akikupendezeni.
a believing servant is better than an idolater, even if you like him.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
hawatazami kwa muumini udugu wala ahadi; basi hao ndio warukao mipaka.
and they observe toward a believer neither pact nor honour. these are they who are transgressors.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na anaye tenda mema, naye ni muumini, basi hatakhofu kudhulumiwa wala kupunjwa.
and he who hath done some good works, being a believer, he feareth not injustice nor begrudging (of his wage).
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na atendaye mema naye ni muumini basi haitakataliwa juhudi yake. na hakika sisi tunamwandikia.
and whosoever does deeds of righteousness, being a believer, no unthankfulness shall befall his endeavour; we ourselves write it down for him.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
yeye ndiye aliye kuumbeni. miongoni mwenu yupo aliye kafiri, na yupo aliye muumini.
he it is who created you, then some of you are disbelievers and some of you are believers.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
miongoni mwenu yupo aliye kafiri, na yupo aliye muumini. na mwenyezi mungu anayaona mnayo yatenda.
he it is who created you, but one of you is a disbeliever and one of you is a believer, and allah is seer of what ye do.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: