Results for muundo wa shajala la somo translation from Swahili to English

Swahili

Translate

muundo wa shajala la somo

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

maana ya muundo wa sampuliu

English

meaning of sample design

Last Update: 2021-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa sababu huo ndio muundo wa wenye nguvu unavyofanya kazi.

English

because that’s how power structures work.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

muundo wa serikali ya rwanda, ulio imara na unganishi, umewezesha mabadiliko ya haraka.

English

the rwandan state structure, solid and centralized, has facilitated a rapid reconstruction.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maoni yanaweza kuwa ya kuunga mkono na ya kupinga mpango wa somalia kuwa na muundo wa shirikisho.

English

views can be found both in support of and against somalia adopting a federal structure.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sawaftah alisema kwamba muundo wa kiufanisi wa tmg utakinga athari zitakazotokana na ‘kutokuwepo kwa mtu mmoja’.

English

sawaftah said that tmg’s corporate structure prevents “the absence of one individual” from affecting its activity

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hiyo ki-urdu kiliendelea kutumia sanaa ya kuandika kwa mkono wakati lugha nyingine zilichukua muundo wa miandiko ya mashine.

English

therefore, urdu resorted to lithography while other languages adopted typeset.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mbinu kama hizi zina uwezekano wa juu wa kuwekwa sambamba na zimetumika kwa ufanisi katika nyanja nyingi ikiwa ni pamoja na uwekaji muundo wa usambazaji wa ugonjwa.

English

such techniques are highly parallelizable and have been successfully applied to many fields including disease transmission modelling.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huko kanada tarehe 16 aprili 2020, chuo kikuu cha waterloo cha shule ya kusomea dawa ilitangaza muundo wa chanjo iliyoteuliwa inayotegemea dna kama dawa ya kinyunyizio cha pua inayowezekana.

English

in canada on 16 april 2020, the university of waterloo school of pharmacy announced design of a dna-based vaccine candidate as a possible nasal spray.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bodi ya kufuatilia usalama duniani ya madaktari wa who hukuchunguza matokeo ya muda ili kusaidia maamuzi ya usalama na ufanisi wa dawa za majaribio, na kubadilisha muundo wa jaribio au kupendekeza dawa inayofaa.

English

a global safety monitoring board of who physicians examine interim results to assist decisions on safety and effectiveness of the trial drugs, and alter the trial design or recommend an effective therapy.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nimonia isiyo kali: pulmonary oedema, pneumocyte hyperplasia, large atypical pneumocytes, interstitial inflammation yenye lymphocytic infiltration na muundo wa seli kubwa.

English

mild pneumonia: pulmonary oedema, pneumocyte hyperplasia, large atypical pneumocytes, interstitial inflammation with lymphocytic infiltration and multinucleated giant cell formation

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watumiaji wa mtandao nchini indonesia wanafanya harakati kukusanya kiasi hicho katika muundo wa sarafu kwa sababu wamekasirishwa sana na uamuzi wa mahakama na wanatumaini kwamba sarafu zitaielemea hospitali hiyo, alieleza mwanaharakati mmoja kupitia gazeti moja linalochapishwa nchini humo linalojulikana kama kompas.

English

indonesian net users are buzzing to collect the sum in form of coins because they are outraged by the court decision and they hope the coins will overwhelm the hospital, said one activist to local newspaper kompas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hesabu huzalisha muundo wa akili ambao pia humfaidisha daktari, mwasilianaji wa kijamii au mwanasosholojia, si kumfanya awe na mafanikio katika taaluma yake, lakini kuwa raia katika demokrasia na kama watu binafsi wenye ushawishi katika jamii.

English

maths generate a mental structure that also benefits the physician, the social communicator or the socióogist, not specificlaly to be successful in their profession, but as citizens in a democracy and as individuals that have influence in a society.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

amafundisho ya kina ya falsafa ya ki-buda hivi sasa yanapatikana kwenye mtandao wa intaneti katika muundo wa maoni mafupimafupi, kamusi, podikasti, na hata vitabu kamili ivilivyoandikwa kwa lugha ya kiingereza na khmer.

English

an extensive teaching of buddhist philosophy is now accessible online in the form of short commentaries, dictionaries, podcasts, or textbooks in both english and khmer.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vuguvugu la pili lilikuwa katika muundo wa maandamano mbele ya makao makuu ya kampuni hiyohiyo inayochapisha gazeti hilo, safari hii vuguvugu liliandaliwa na "vuguvugu la wasio na chombo cha habari" na liliongozwa na blogu ya cidadania likipinga kile walichodai ni upindishaji na habari zinazoegemea upande mmoja unaofanywa na kampuni hiyo ya folha.

English

the second was a demonstration in front of the headquarters of the same media group, organized by the "medialess movement" headed by cidadania blog, against a perceived bias and news manipulation of the folha group.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

katika blogu yake, smime, michael schuster ambaye ni mtaalamu wa teknolojia ya kublogu na mchambuzi wa muundo wa lugha, alichangia kwenye mapitio ya namna “vyombo vya habari vya kale” vilivyoripoti matukio hayo.

English

in his blog, smime, michael schuster who is specialist in semantic analysis, contributed an overview of the "old media" covering the events.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nimefika shule saa 7:15,nikasaini kwenye kitabu cha mahudhurio,nikaandaa mpango wa kazi,nikapata kifungua kinywa,nikahudhuria kikao cha walimu,nikaandaa andalio la somo,nikapata chakula cha mchana,nikaenda kupumzika

English

nimefika shule saa 7:15,nikasaini kwenye kitabu cha mahudhurio,nikaandaa mpango wa kazi,nikapata kifungua kinywa,nikahudhuria kikao cha walimu,nikaandaa andalio la somo,nikapata chakula cha mchana,nikaenda kupumzika

Last Update: 2024-07-24
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maswali ya mkutano wa wavuti wa mkoa wa amerika je! usrc inafanyaje kazi na itifaki na sheria ya agano la krismasi? agano la krismasi | ct inathibitisha kwamba agano la krismasi linaonyesha kwa usahihi sheria ya ct ambayo inapendekeza kuunda mkutano wa mkoa wa merika. pia hufanya muundo wa mkutano wa mkoa uwe sawa ulimwenguni. kama sheria ya ct usrc, sheria ya agano la krismasi inaunda mchakato wa hatua mbili huko us unaanza na kamati ya muda ya mkoa wa amerika ambayo

English

us regional conference webinar faq how does the usrc work with the protocol and christmas covenant legislation? christmas covenant | the ct affirms that the christmas covenant accurately reflects the ct legislation which proposes creating a u.s. regional conference. it also makes the regional conference structure consistent worldwide. like the ct usrc legislation, the christmas covenant legislation creates a two stage process in the u.s. it starts with an interim u.s. regional committee that

Last Update: 2020-06-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,651,277,123 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK