From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa.
each running (on a fixed course) for an appointed term.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
- la mtumba, mie nipo hapa kwa kipindi kifupi tu.
- used, i’m only here for a short period of time.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
chama cha bn kimetawala malaysia kwa kipindi cha nusu karne.
bn has ruled malaysia for the past half-century.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
rais museveni tayari anatafuta kuchaguliwa kwa kipindi cha sita cha urais.
president museveni is already seeking a sixth presidential term.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. jueni mtanabahi!
and he regulates the sun and the moon, each running along a specific course.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mapema baada ya kuanza kwa kipindi cha pili simba wakafanya mabadiliko mawili.
soon after the start of the second half simba made two changes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
dodoso huuliza kuhusu maeneo muhimu ya maisha ya haya kwa kipindi cha miezi 12.
the questionnaire covers the main aspects of household life over a 12-month period.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ikiwa vikao virefu vinahitajika, zingatia jinsi vinaweza kutenganishwa kwa kipindi cha siku kadhaa.
if longer sessions are required, consider how they can be broken up over the course of several days.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
filamu mpya yaonesha mwenendo wa familia moja ya syria kwa kipindi cha miaka mitano ya vurugu za kisiasa.
a new film follows one syrian family through five years of upheaval.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
chama cha umma kilikataa wakidai kuwa walipaswa kuziwasilisha hati hizo kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita na si vinginevyo.
the pp refused, claiming that they were only obligated turn in documents from the last five years.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kumepelekea, pia ongezeko la uhamiaji kutoka brazili kwenda angola kwa kadri ya asilimia 70 kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.
consequently, immigration from brazil to angola has increased too, 70 percent over the last five years.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kabila anazuiwa na katiba ya nchi hiyo kugombea kwa kipindi cha tatu, ingawa kwa kampeni ya sasa itabidi andelee kutawala mpaka sensa itakapokamilika.
kabila is barred by the constitution from seeking a third term, however his term would be automatically prolonged until the census is completed.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nikawa mkiwa asiye na rafiki, kupitia mimi, walitaka kuwatisha wapinzani wa mpango huo wa kutafuta kuchaguliwa kwa kipindi cha nne cha uraist.
i became persona non-grata. through me, they want to thwart the opposition who is fighting against a fourth term for the president.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
matokeo yake ni kuwa, kwa kipindi cha siku mbili zilizopita, zaidi ya waandamanaji 140, wanawake kwa wanaume walitiwa nguvuni na maofisa wa polisi wa saudi arabia.
as a result, over 140 protesters, men and women, were arrested by saudi forces during the previous two days.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@zainabimam: kazi nzuri, faisal qureshi (muigizaji) kwa kipindi cha asubuhi kuhusu imani ya watu wa shia.
in an effort to create more noise and build pressure on law enforcement agencies and the government, there's been an active debate on social media regarding the targeted killings of shiites using the #shiakillings and #shiagenocide on twitter. hazara activists have, in the past, used social media to get international media's attention in order to get their stories reported.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hafla ya kitaifa ya maombolezo ya mfalme itaendelea hadi tarehe 23 oktoba, 2012. wananchi wanaweza kutoa heshima yao ya mwisho kwa kufika katika kasri tukufu kwa kipindi cha miezi mitatu ijayo.
the national mourning ceremony for the king will take place until october 23, 2012. the public can pay their last respects by visiting the royal palace in the next three months.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
aliachiwa huru kutoka gerezani mwaka 1990, na kuwa rais miaka minne baadae, na kuachia madaraka baada ya kutumikia kwa kipindi kimoja tu, kitendo adimu kufanywa na wenye madaraka barani afrika.
freed from prison in 1990, he became president four years later, and left office after serving only one term, a rare gesture in african politics.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
haya hapa makampuni matano yaliyokuwa yameingia mikataba mikubwa ya kusambaza vifaa na kutoa huduma katika kupambana na ugonjwa wa ebola nchini sierra leone kama yalivyoorodheshwa kwenye taarifa ya ukaguzi ya fedha za kupambana na ebola kwa kipindi cha kuanzia mei - oktoba 2014.
here are the 5 companies who were awarded the biggest contracts to provide goods and services to sierra leone’s ebola response as listed in the ebola funds audit report covering the period from may – october 2014.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika makala hii tunafuatilia uzoefu wa wanablogu watatu ambao ndiyo kwanza wamekwenda ng'ambo kwa masomo: kule japan, uingereza na marekani na mwanablogu wa nne ambaye anasoma india kwa kipindi fulani hivi sasa.
in this post we hear about the experiences of three bloggers who have just gone abroad for higher studies, to japan, britain and the united states, and a fourth blogger who has been studying in india for some time.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
picha ya 2 inaonyesha jumla ya idadi ya visa vya covid-19, katika nchi za eu/eea na uingereza ikilinganishwa na ile ya italia kwa kipindi cha tarehe 31 januari-15 machi 2020.
figure 2 shows the cumulative number of covid-19 cases, in eu/eea countries and the uk compared with that in italy for the 31 january–15 march 2020 period.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.