From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
chombo cha kichimba aridhi kiitwacho tarimbo
an excavation tool
Last Update: 2020-02-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chombo cha sane ambacho utatumia kupata picha
sane device to acquire images from.
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
hata hivyo, hiyo isiwe ndio kielelezo cha mafanikio.
however, that should not be a marker for success.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
changamoto kuu kwetu ni namna ya kuendelea na kutengeneza chombo cha habari endelevu.
the other major challenge for us is how to survive and make a sustainable media.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mashindano ya video: intaneti kama chombo cha kueneza amani
video contest: internet for peace · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tunisia: mwanafunzi atupwa gerezani kwa kuhojiwa na chombo cha habari
tunisia: student jailed for media interview · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati huo huo uwezekano wa shaka wajitokeza na sisi kujiuliza: je, siasa ni chombo cha mabadiliko?
at that moment, the possibility of doubt arises and we ask ourselves: is politics a tool of transformation?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kila siku, tunasoma, kusikia, na kusema maneno: "siasa ni chombo cha mageuzi ya jamii".
every day, we read, hear, and speak the phrase: "politics is the tool for society's transformation".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
chombo cha habari cha global kimeonyesha namna serikali yetu ilivyoshidwa kuwajibika kwa ajili ya waathirika wa yolanda.
global media is showcasing our government's lack of action for the yolanda victims.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
twita ni maarufu sana nchini tanzania kama chombo cha kubadilishana maoni na kuendesha mjadala na pia jukwaa la kutoa habari za papo kwa papo, au hivi punde.
twitter is extremely popular in tanzania as a tool for exchanging views and debate and also as a platform for breaking news.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ndani ya mbebaji virusi anayetumika kama chombo cha kuchanganyia, ubadilishaji wa strandi hufanyika mara kwa mara wakati wa kunakiliwa kwa cov rna.
in a host that serves as the mixing vessel, strand switching occurs frequently during cov rna transcription.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chombo cha habari cha al jazeera ndicho cha pekee kilichokubalika kama chombo cha kikuu cha habari cha kimataifa kilicho onyesha kiwango cha mgomo wa kutokula.
al jazeera’s the stream has been the only internationally acknowledged mainstream outlet that has highlighted the gravity of the hunger strike.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
redio zamaneh (rz) ni chombo huru cha utangazaji kilichosajiliwa kama asasi isiyo ya kiserikali huko uholanzi, kikiwa na studio na makao yake makuu mjini amsterdam.
radio zamaneh (rz) is an independent broadcasting organisation, registered as a non-profit organisation in the netherlands, with headquarters and a studio in amsterdam.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chombo cha habari cha bbc kimeandika, “kwa wafuasi wake, vellupillai prabhakaran alikuwa ni mpigania uhuru kwa ajili ya ukombozi wa watamil.
the bbc writes, "to his followers, vellupillai prabhakaran was a freedom fighter struggling for tamil emancipation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
huyo mama akasema, "mheshimiwa, wewe huna chombo cha kutekea maji, nacho kisima ni kirefu; utapata wapi maji yaliyo hai?
the woman saith unto him, sir, thou hast nothing to draw with, and the well is deep: from whence then hast thou that living water?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
chombo cha habari cha blogger times kinachoendeshwa na mabloga wa kiarabu, kimemtaja malkia rania wa jordan kuwa bloga maarufu zaidi wa video za kutoka uarabuni katika chombo cha video mtandaoni, youtube, kufuatia mafanikio ya mlolongo wa video za youtube aliouanzisha kuondoa dhana potofu dhidi ya waarabu.
queen rania of jordan has been named the most famous arab video blogger on youtube by blogger times, a blogging magazine run by arab bloggers, following the success of a series of youtube videos she launched to shake off stereotypes against arabs.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
naliona hili ni jambo lililo kinyume, kwamba teknolojia sasa imekuwa ni chombo kinachoanzisha kampeni ambayo katika wakati mwingine, ingekuwa ni kampeni ya umma kwenye ngazi za chini kwenda kupima damu na kuelimishwa zaidi.
i find it paradoxical that technology has now become the default vehicle to initiate what would have been at one time, a grass roots blood testing and education campaign.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wala msitoe hata sehemu moja ya miili yenu iwe chombo cha kutenda uovu na dhambi. badala yake, jitoleeni ninyi wenyewe kwa mungu kama watu waliofufuliwa kutoka wafu; toeni nafsi zenu zote kwa mungu kwa ajili ya uadilifu.
neither yield ye your members as instruments of unrighteousness unto sin: but yield yourselves unto god, as those that are alive from the dead, and your members as instruments of righteousness unto god.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
dawa zilizoteuliwa katika majaribio ya awamu ua i-ii zina kiwango cha chini cha mafanikio (chini ya asilimia 12%) kupita katika awamu za majaribio ili kupata idhini ya mwisho.
drug candidates in phase i-ii trials have a low rate of success (under 12%) to pass through all trial phases to gain eventual approval.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: