From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mwanya
let things roll.
Last Update: 2023-02-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
walipoteza mwanya huo.
they blew it.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuahirishwa kwa uchaguzi kunaweza kutoa mwanya kwa jonathan kurekebisha baadhi ya makosa aliyokwisha kuyafanya.
a postponement would provide an opportunity for jonathan to recover some lost grounds.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
watu wengi wa misri walitumia mwanya huu kukejeli mapinduzi yao wenyewe, kama gepril thuwaiba anavyotwiti:
many egyptians used the opportunity to joke about their own revolution, like gepril thuwaiba who tweets:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini kipindi kilichofuata baada ya uchaguzi mkuu kilitoa mwanya wa fursa kwa serikali mpya kuunganisha nchi kwa visheni au malengo makuu yaliyo wazi (kwa msaada wa umoja wa mataifa) vikiungwa mkono na mkondo wa sheria.
but the immediate post-election period offered a real window of opportunity for the new government to unite the country behind a clear vision and (with un support) determined backing for the rule of law.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa bahati mbaya, vikwazo kadhaa kutoka kwa watendaji wa serikali dhidi ya vyombo vya habari, hususani katika kipindi hiki, umetoa mwanya wa kuongezeka kwa hali ya sintofahamu kuhusiana na ugonjwa huu, na pia kuendelea kuongeza hali ya jamii kutokuamini uwepo wa ugojwa huu.
unfortunately, several actions against media by government actors, especially during these times, have simply given room to growing skepticism about the disease, and further exacerbating the denials within the community. we think this is unfair and improper.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati wanablogu kadhaa wa kiirani (pamoja na wale wa-kiislamu) waliongeza makala zao na jitihada nyingine za kidijitali, kama vile "google bomb" kulaani uvamizi wa israeli katika ukanda wa gaza, wanablogu wengine wanasema kwamba serikali ya irani inatumia 'mwanya wa mgogoro wa gaza' kukandamiza vyombo vya habari na asasi za kiraia ndani ya nchi hiyo.
while several iranian bloggers (including islamist ones) multiplied their posts and digital initiatives, such as a "google bomb" to condemn israel's invasion of the gaza strip, some other bloggers are saying the iranian government is using the "gaza conflict moment” to repress media and civil society inside the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting