Results for mwishoni mwa wiki kibarua translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

mwishoni mwa wiki kibarua

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

damu ilimwagika mwishoni mwa maandamano hayo.

English

the march ended in bloodshed.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa bahati nzuri, vumbi lilikuwa tayari kimekwisha mwishoni mwa wiki iliyopita.

English

fortunately, the haze was already gone last weekend.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwishoni mwa siku, ni fedha za televisheni ndizo zitakazoongea.

English

at the end the day, it is the big tv money that talks.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kinachotujia ni kuwa, alitoweka tangu mwishoni mwa mwezi julai.

English

what comes to us is this, she has disappeared since the end of july.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walitumaini itakuwa rahisi kushinda uchaguzi huo mdogo, ambao ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.

English

they hoped it would be easier to win these small-scale contests, which took place last weekend.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tulikuwa tumeketi mwishoni mwa behewa na mikoba yote ilipaa ikituelekea.

English

we were sitting at the end of the train car and all the bags flied toward us.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anyango :naam ,bila shaka pinduka kushoto mwishoni mwa barbara hii

English

anyango: well, of course turn left at the end of this barabara

Last Update: 2022-01-19
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwishoni mwa mwezi disemba, baraza la mawaziri la msumbiji lilitoa tamko muhimu.

English

in late december, the council of ministers of mozambique made a significant announcement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kisa cha kwanza cha sars kinaweza kufuatiliwa hadi mwishoni mwa 2002 katika mkoa wa gaungdong nchini china.

English

the first case of sars can be traced back to late 2002 in guangdong province of china.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwishoni mwa mwezi februari, heffernan alisafiri kwenda monrovia, liberia kufanya kazi hiyo ya kupiga picha.

English

in late february, heffernan travelled to monrovia, liberia to do just that.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baadhi wanahoji ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi utakaofanyika mwishoni mwa mwezi oktoba mwaka huu nchini tanzania.

English

some question if it is due to the fact that tanzania is preparing for elections in late october 2015.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

habari zilisambaa alhamisi iliyopita kwamba suu kyi angeachiwa mwishoni mwa juma mnamo tarehe ambayo kifungo chake cha nyumbani kingeisha.

English

news spread out last thursday that suu kyi will be freed this weekend on the date of expiration of her house arrest sentence.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mapambano ya hivi karibuni yalitokea mwishoni mwa juma lililopita wakati ambapo wanachama wa kikundi hicho walipojaribu kufanya maandamano mara mbili mjini havana.

English

the most recent confrontation happened this past weekend as members of the group attempted to carry out two protests in havana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baba yangu, mohammed hadi tamimi, aliichezea timu hii mwishoni mwa miaka ya 60 hadi mwanzoni mwa miaka ya 70 wakati huo ikiitwa sunderland.

English

my father, mohammed hadi tamimi, played for the club in the late 60s and early 70s, when it was known as sunderland.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuelekea mwishoni mwa mwaka 2009, raia wa hungaria na wale wa slovakia walianzisha kampeni ya mtandaoni ambayo ilikuja kupata sura yake maridhawa mwezi januari 2010.

English

at the end of 2009, hungarian and slovak citizens started an online campaign which will turn into more visible formats in january 2010.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wanaharakati na wanazuoni wa hong kong wamefanya kazi pamoja kwa miaka miwili kuandaa kura ya maoni inayoongozwa na raia na kuwezeshwa na teknolojia juu ya haki ya kupiga kura iliyofanyika mwishoni mwa mwezi wa juni.

English

activists and scholars in hong kong worked together for two years to organize a citizen-led, technology-driven referendum on voting rights that took place at the end of june.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maryam alikamatwa kwenye uwanja wa ndege mwishoni mwa mwezi agosti, alipojaribu kuingia nchini bahrain kukutana na baba wa mwanaharakati wa haki za binadamu alikuwa amefungwa tangu mwezi aprili 2011.

English

maryam was arrested at the airport in late august, as she tried to enter bahrain to meet her father a prominent human rights activist who has been behind bars since april 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mtawala wa muda mrefu wa zimbambwe, robert mugabe, 87, alipitishwa mwishoni mwa wiki iliyopita na chama chake cha zanu –pf, kuwa mgombea wao kwa uchaguzi wa rais unaotegemewa kufanyika mwaka ujao.

English

zimbabwe's long-time ruler, robert mugabe, 87, was endorsed last weekend by his party, the zimbabwe african national union-patriotic front (zanu-pf), as their candidate for the presidential elections expected next year.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika tovuti ya uandishi wa kiraia, agoravox, illiouchine, metropolitanin , anaelezea hali ilivyokuwa katika guadeloupe mwishoni mwa juma na utulivu uliofuatia baada ya ghasia za usiku wa jumatatu.

English

on the citizen media website, agoravox, illiouchine, a métropolitain , describes the scene in guadeloupe this weekend and the calm that followed monday night's violence, an unfortunate turn of events

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwishoni mwa karne ya 20 , nchi nyingi za afrika ziliweka ukomo wa mihula ya urais kama sehemu ya sheria pana za kikatiba zilizoenda sambamba na mabadiliko kutoka kwenye utawala binafsi na wa kiimla kwenda kwenye mfumo wa utawala unaoheshimu matakwa ya walio wengi.

English

at the end of the 20th century, many african countries adopted presidential term limits aspart (sic) of a broader set of constitutional rules that accompanied the transition from personal and authoritarian rule to pluralistic modes of governance.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,800,523,234 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK