Results for mzingira hatarishi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mzingira hatarishi

English

the endangered species

Last Update: 2023-05-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vishawishi hatarishi

English

introduced risk

Last Update: 2015-11-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mashirika mengine kama vile search for common ground nalo litashiriki katika miradi kama hii ili kuboresha hali za wanajamii walio katika maeneo hatarishi.

English

other organisations, such as search for common ground, will collaborate with these initiatives to strengthen the communities in vulnerable areas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

matumizi ya vitu hatarishi kwa jamii kama vile madawa ya kulevya ya kuwafanya watoto waingie migodini na kufanya kazi kwa muda mrefu ni mambo ya kawaida kwenye migodi.

English

social hazards such as the use of illegal drugs to keep children inside the tunnels awake for hours are also a regular feature of the country's mines.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pia, wapo wanablogu pamoja na wanaharakati wa mtandaoni ambao hawapo katika listi hiyo, lakini wapo katika hali hatarishi kutokana na uandishi na uanaharakati wao.

English

there are also bloggers and online activists who are not in the list, but are in peril because of their writing and activism.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

changamoto iliyopo ni zambia kutekeleza sera bora za usawa ili masikini waliowengi na wale walio kwenye mazingira hatarishi katika jamii yetu wasiachwe nyuma na kubaki kuwa waangaliaji tu wa shughuli za uchumi.

English

the challenge though still remains for zambia to put in place better redistributive policies so that the majority poor and the most vulnerable in our society are not left to be mere spectators in the current economic activities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mashirika mbalimbali ya kimataifa ikiwa ni pamoja na waandishi wa habari wasio na mipaka maalum wameishinikiza mamlaka ya iran kutoa ufafanuzi wa kina wa mzingira ya kifo cha mwanablogu huyu na kuzitaka jamii za kimataifa kutokukubali kosa hili kumalizwa bila ya wahusika kuadhibiwa.

English

several international organizations including reporters without borders urged the iranian authorities to clarify the exact circumstances of the blogger's death and called on the international community not to allow the crime to go unpunished.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,787,704,243 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK