Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mzozo wa faili
file conflict
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
australia: mauaji ya mhindi yazua mzozo
australia: indian homicide reignites racism ruckus · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jambo hili la rohingya si mzozo wa kidini wala wa kikabila.
the rohingya issue is neither a religious clash nor ethnic clash.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanablogu wa algeria adel anatoa muhtasari wa mlolongo wa matukio ambayo yamesababisha mzozo.
algerian blogger adel , sums up the chain of events that led to the row.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwandishi mohamed ould salem alimlaumu waziri wa elimu kwa kusababisha mzozo katika sekta ya elimu:
mauritanian journalist mohamed ould salem also slammed the minister of education for creating a crisis in the education sector:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya kusema hivyo, mzozo mkali ulitokea kati ya mafarisayo na masadukayo na mkutano ukagawanyika sehemu mbili.
and when he had so said, there arose a dissension between the pharisees and the sadducees: and the multitude was divided.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
yemen iko kwenye mzozo wa kisiasa, bila kuwa na rais wala serikali, tangu waasi wa houthi kuangusha taasisi za kiserikali na kuteka ikulu kwenye mji mkuu wa sanaa.
yemen is in political limbo, without a president and government, since the houthi militias took over government institutions and the presidential palace in capital city sanaa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
blogu ya l'express mada ilitoa taarifa kwamba kijiji kizima cha andranondambo kilichoko kusini mwa madagascar kiliharibiwa kufuatia mapigano ya wanakijiji yaliyosababishwa na mzozo wa kumiliki ardhi.
l'express mada reports that the entire village of andranondambo in the south of madagascar was destroyed during an inter-village conflict that stems from a dispute over land rights.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
suala la uraia wa nchi mbili bado lina mzozo kwa sababu wazambia wengi wanaoishi nje ya nchi wanataka suala hilo liingizwe kwenye katiba mpya inayoandaliwa hivi sasa, lakini hali ya renard ya sasa kuhusu uraia wake ni kama vile imetia dosari mchakato huo.
dual citizenship is controversial because most zambians abroad want it included in the new constitution being drawn up, but renard's status has effectively short-circuited the procedure.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
michelle f. kwenye blogu ya stop the genocide anakokotoa picha ya majeshi yenye silaha aliyoiita "supu ya majeshi yenye silaha kwa herufi" katika jamhuri ya demokrasia ya watu wa kongo kwa wale ambao hawajui ni nani wahusika wakuu kwenye mzozo huu:
michelle f. at the stop genocide blog offers a breakdown of the “alphabet soup of armed elements” in the drc for those confused about the actors in this conflict:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting