Ask Google

Results for nafahamu vizuri sana translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

nzuri na vizuri sana kuchukuliwa

English

beautiful and very well taken

Last Update: 2016-06-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Wachezaji wote walikuwa vizuri sana.

English

All of the players were great.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kama uko nje ya nchi, kwa nini, hivyo ni vizuri sana.

English

If you are outside the country, why, that is very good.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Filamu ya Slumdog Millionaire imefanya vizuri sana kwenye jambo hili.

English

Slumdog Millionaire does that admirably.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Nafahamu vizuri sana kwamba baada ya kuondoka kwangu mbwa mwitu wakali watawavamieni, na hawatakuwa na huruma kwa kundi hilo.

English

For I know this, that after my departing shall grievous wolves enter in among you, not sparing the flock.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Anaeleza kwa nini inakuwa vizuri sana kuwa na ‘familia’ nchini Moroko:

English

She explains why it's best to have "family" in Morocco:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

26% Vizuri sana, hii ndiyo sehemu yake hasa 11% haina shaka, familia yake ndio iamue

English

26% Brilliant, is is exactly his place 11% It does not matter, his family should decide

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Askari yeyote ya Misri ametumikia katika jeshi anajua vizuri sana mikopo mikubwa majenerali wa jeshi inayoingizwa kwenye akaunti zao za benki.

English

Any any Egyptian soldier served in the army knows very well how large credits the army generals own in their bank accounts.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kwa kuangalia kwenye posti za hivi karibuni kwenye blogu yake, kwa hakika mtu anaweza kuona kuwa Nyota amefahamu vizuri sana kutumia vyenzo za kublogu.

English

Looking at her current blog posts, one can indeed see that Nyota has known quite well how to use the blogging tool.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Ninajua vizuri sana kwamba wanahangaika na kukosekana kwa mafungu ya fedha kutoka serikalini na hivuo vinafikiri nidhamu ya matumizi ni njia pekee ya kukabiliana na mdodoro wa mwaka 2008.

English

I know very well that they've suffered budget cuts by governments that still think austerity is the road to recovery from the crash of 2008. Follow our in-depth coverage: The Struggle to #StopEbola in West Africa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Sheria za kazi zinasema vizuri sana kuwa kampuni ambayo inakuajiri kama intani haina budi kukutendea kama wafanyakazi wengine, wakulipe na upate siku za likizo kama wengine, miongoni mwa stahili nyingine.

English

Labour laws clearly state that the company that takes you in as an intern is required by law to absorb you as their full time employee, paid in their scale and entitle to leave days among other benefits.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Tena, viungo vile tunavyovifikiria kuwa havistahili heshima kubwa, ndivyo tunavyovitunza kwa uangalifu zaidi; viungo vya mwili ambavyo havionekani kuwa vizuri sana, huhifadhiwa zaidi,

English

And those members of the body, which we think to be less honourable, upon these we bestow more abundant honour; and our uncomely parts have more abundant comeliness.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

anajisikia vizuri sana kuwaona wa-Ganda wakija pamoja kusherekea miaka 50 ya kuwa wa-Ganda wasiotafuta chama tofauti cha siasa bali kama wa-Ganda.

English

It feels really good to see Ugandans coming together to celebrate 50 years as Ugandans not looking at the different political parties but just as Ugandans.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Renard alikuja hapa kwa kazi moja tu, nayo ni kuwa kocha, sawa sawa na ambavyo watu wengi tu wameshafanya, hebu fikiria ikiwa kila anayekuja Zambia anafanya vizuri sana, je, tutawachukua wote?

English

Such privileges without procedures are worrying.Renard purely came here for employment as a coach, as many of other people have come, supposed all who are in Zambia do the best are we going to adopt them,

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kwa mujibu wa matokeo hayo, wale waliotoa maoni yao wanadhani serikali ilikuwa inafanya vizuri au vizuri sana kwenye kusimamia uchumi, kupunguza uhalifu na kutoa huduma za msingi za jamii kama vile afya, maji safi, barabara na elimu.

English

In particular, those polled thought the government was performing well or very well in managing the economy, reducing crime and delivering basic services in terms of health, clean water, roads and education.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Pamoja na kuwa hii siyo hotuba bora kabisa, ‘ufahamu wa uraia’ umefafanuliwa vizuri sana: kila mmoja ana haki zake za asili, na pia, kila mmoja ana wajibu wake wa asili.

English

Though this is not the best speech, ‘citizenship awareness’ has been described very clearly: everyone has natural rights, so everyone also has natural responsibilities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Petro akamwambia Yesu, "Mwalimu, ni vizuri sana kwamba tuko hapa. Basi, afadhali tujenge vibanda vitatu: kimoja chako, kimoja cha Mose na kimoja cha Eliya."

English

And Peter answered and said to Jesus, Master, it is good for us to be here: and let us make three tabernacles; one for thee, and one for Moses, and one for Elias.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Hapo Petro akamwambia Yesu, "Bwana, ni vizuri sana kwamba tupo hapa! Ukipenda nitajenga vibanda vitatu: kimoja chako, kimoja cha Mose na kimoja cha Eliya."

English

Then answered Peter, and said unto Jesus, Lord, it is good for us to be here: if thou wilt, let us make here three tabernacles; one for thee, and one for Moses, and one for Elias.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK