From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa mujibu wa maelezo yake na nyaraka alizonionesha, yuko sahihi.
according to his explanation and the materials he showed me, he is right.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
bali wameyakanusha wasio yaelewa ilimu yake kabla hayajawajia maelezo yake.
aye! they have belied that of which the knowledge they comprehended not and of which the fulfilment hath not come to them.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
bali wameyakanusha wasio yaelewa ilimu yake kabla hayajawajia maelezo yake. kadhaalika walio kabla yao walikanusha vile vile.
in fact, they deny what is beyond the reach of their knowledge, whose explanation has not reached them yet.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
alexander erenko, mwandishi kutoka perm, alinukuu maandishi hayo na kuyaweka kwenye ukurasa wake wa facebook, na akabadilisha maelezo yake ya alikozaliwa kuwa vologodsk.
alexander erenko, a journalist from perm, re-posted this message on his wall, changing the vologodsk region to his own home town.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
adam minter amesikitishwa na maoni ya obama kwenye mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa jiji la shanghai, hasa, maelezo yake kuwa "mimi ni muunga mkono mkubwa wa kutokuchuja habari".
adam minter is disappointed by obama's comment in the shanghai town hall meeting with students, in particular, his expression that "i'm a big supporter of non-censorship".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ndugu zake abdujalilova (kwa mujibu wa maelezo yake ya utambulisho kwenye facebook ameolewa, na asasi ya haki za binadamu imemtaja dada yake abdujalilova ambaye ndiye aliyeuona ujumbe wa kujiua ulioachwa na mdogo wake) nae pia amekaa kimya.
abdujalilova’s relatives (according to her facebook profile she is married, and human rights alliance mentioned abdujalilova’s sister who allegedly found her suicide note) have also kept silent.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
matukio mawili yalikuwa karibu sana kwa wakati, kwa ukweli, kuwa i-télé (kituo cha televisheni nchini ufaransa) kilikusanya picha ambazo maelezo yake yanakinzana na matukio ya guadeloupe na yale ya madagaska :
the two events were so close to each other in time, in fact, that i-télé (a cable-tv news channel in france) compiled the following little montage in which the commentary confuses the events in guadeloupe with those in madagascar :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.