From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
natakiwa nitoe ada ya chuo
i'm going to have to go to college
Last Update: 2023-10-20
Usage Frequency: 1
Quality:
habari ya chuo
college news
Last Update: 2022-10-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
elimu ya chuo kikuu
university education
Last Update: 2023-03-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wazazi wangu walilipa ada ya shule
my parents paid the school fees
Last Update: 2024-03-18
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
ada ya mja hunena, muungwana ni kitendo
il compenso del servitore dice, un gentiluomo è un atto
Last Update: 2021-06-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nilihitimu elimu yangu ya chuo mwaka 2019
i graduated from primary school in 2019
Last Update: 2021-09-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa ajili ya wanafunzi tunaowadai ada ya shule
alleged school fees
Last Update: 2022-10-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wala hutapata mabadiliko katika ada ya mwenyezi mungu.
there will never be any change in the tradition of god.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
samahani mpenzi naomba nisaidie nime fukuzwa shule sina ada ya kulip
you've been asleep
Last Update: 2025-02-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hii ni ada ya mwenyezi mungu iliyo kuwa kwa wale walio pita zamani.
such has been god's way with those who have gone before them.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alijitolea; alihatarisha maisha yake kwa kuchoma mkaa ili apate ada ya shule.
he was enterprising; he risked his life to burn charcoal to raise his school fees.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hivi sasa ni mrefu wa sentimita 186, ana ndevu za beberu, ana leseni ya gari na shahada ya chuo.
today he is a 186 cm tall man, with a goatee, driving license and a college degree.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hii ni ada ya mwenyezi mungu iliyo kuwa kwa wale walio pita zamani. wala hutapata mabadiliko katika ada ya mwenyezi mungu.
(such has been) the course of allah with respect to those who have gone before; and you shall not find any change in the course of allah.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jana usiku wanafunzi wawili wa makerere walipigwa risasi na mlinzi wa usalama mwenye silaha jambo ambalo lilipelekea ghasia zilizosambaa sana katika maeneo ya chuo kikuu leo.
last night two makerere students were shot by an armed security guard leading to widespread riots near the university today.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alieleza namna utajiri wake utagawanya na kumwomba rais aliyeko madarakani joyce banda, ambaye alimtumikia, kumsaidia kulipa ada ya shule kwa mwanae.
he also outlined how his wealth would be distributed and asked incumbent president joyce banda, under whom he served, to help pay the school fees for his child.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
habari mpya: huu ni mlolongo wa picha kwenye huduma ya flickr unaoonyesha uharibifu uliofanywa na vikosi vya usalama katika mabweni ya chuo kikuu cha tehran jumapili usiku.
update: here is a flickr slideshow of photos showing more of the destruction left behind by security forces in university of tehran dormitories on sunday night.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
cbs news iliripoti, ikitaja data ya chuo kikuu cha johns hopkins, kulikuwa na zaidi ya vifo 1,000 nchini marekani siku ya jumatano vilivyosababishwa na maambukizi virusi vya korona.
cbs news reported, citing johns hopkins university data, there were over 1,000 us deaths on wednesday caused by coronavirus infections.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
fda nchini marekani iliidhinisha jaribio la kwanza la utunzaji tarehe 21 machi 2020 kwa ajili ya matumizi mwishoni mwa mwezi huo. miongozo ya utambuzi iliyotolewa na hospitali ya zhongnan ya chuo kikuu cha wuham ilipendendekeza mbinu za kugundua maambukizo kulingana na sifa za kliniki na hatari ya magonjwa ya mlipuko.
the fda in the united states approved the first point-of-care test on 21 march 2020 for use at the end of that month.diagnostic guidelines released by zhongnan hospital of wuhan university suggested methods for detecting infections based upon clinical features and epidemiological risk.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kutokana na sintofahamu iliyopo katika sheria hii mpya na kukosekana kwa mawasiliano mazuri miongoni mwa vyombo husika vya serikali katika kutekeleza sheria hii, malipo ya ada ya kufanya kazi isiyo ya mkataba wa kudumu pamoja na baadhi ya wafanyakazi walio na mwajiri zaidi ya mmoja walizuiwa katika tarehe za mwisho za mwezi januari.
due to ambiguities in the new regulation and lack of coordination between government agencies in implementing the new law, payment of fees for part-time and freelance work for certain categories of workers were blocked in the last days of january.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
zaidi ya wanafunzi 70 waliohitimu elimu ya chuo kikuu na wasomi wa nchini irani wametoa wito wa kuachiwa kwa hamed saber, ambaye ni mwanablogu-mpiga picha na mwanasayansi wa kompyuta wa nchini humo aliyekamatwa pasipo sababu za kuelewekea mnamo tarehe 21 juni 2010 jijini tehran.
more than 70 iranian university graduates and academics are calling for the release of hamed saber, an iranian photo-blogger and computer scientist who was arrested for unknown reasons on 21 june 2010 in tehran.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: