From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nchi yetu ya kenya
our country of kenya
Last Update: 2024-05-21
Usage Frequency: 3
Quality:
tuna hamu ya kuipata tena ardhi yetu tuliyoirithi kwa mababu zetu.
we miss our ancestral land.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
shiriki chemshabongo yetu ya kukuchekesha.
take our satirical quiz.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tunaitakia kila la kheri timu yetu ya nigeri
i wish you all the best and the best of blessings
Last Update: 2024-01-18
Usage Frequency: 1
Quality:
mwenyezi mungu afungue milango yetu ya rizki.
god has opened the door for us.
Last Update: 2023-06-10
Usage Frequency: 4
Quality:
kutoka katika ukurasa wa facebook wa mazungumzo yetu ya sg
from the facebook page of our sg conversation
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa pamoja, tunahitaji kulinda haki zetu pamoja na ardhi yetu tuliyoirithi kutoka kwa mababu zetu.”
we need to collectively defend our human rights and our ancestral land.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
je hii ndio "zama yetu ya kukutana" inavyopaswa kuwa?
is this what our “age of engage” ought to be?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
tungependa kushangilia mafanikio yetu ya uchumi na ongezeko la watu wa tabaka la kati.
we’d like to celebrate our economic growth and our resurgent middle class.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hotuba zinazotoka moyoni kuhusu mambo ya halisi yanayoikabili dunia yetu ya sasa?
speeches from his heart about the realities of our current world?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kiingereza hakikuwa lugha yetu ya asili na tunahitaji kuamka na kurejea misingi yetu wenyewe kwa fahari.
english wasn't our original language in the first place and we need to wake-up and go back to our principals with pride.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jina ni la utani tu, lakini malengo yetu ya kuwaangamiza si utani hata kidogo, na hayazuiliki.
the name is a joke of course, but our determination to bring them down is definitely not a joke, it is inevitable.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kazi yetu ya leo haikuwa kama ilivyokusudiwa kwa sababu 2hq pamoja na moja zimeshindwa kutoka kwenye shimo kwa sababu tred ililegea hivyo kusababisha kushindwa kutoka juu
can't work today
Last Update: 2023-09-15
Usage Frequency: 1
Quality:
"katika kutilia mkazo ukuu wa taifa letu, tunaelewa kwamba ukuu si haki yetu ya kupewa hivi hivi tu.
“in reaffirming the greatness of our nation, we understand that greatness is never a given.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ofisi yetu ya dc iko katika wework, ambayo imeshiriki itifaki yake ya covid-19 na sisi na wafanyakazi wote walio dc.
our dc office is located in a wework, which has shared its covid-19 protocol with us and all dc-based staff members.
Last Update: 2023-08-27
Usage Frequency: 1
Quality:
...serikali ni sehemu muhimu katika maisha yetu ya kila siku, lakini kuitegemea sana ni tatizo kwa sababu inakuwa kama hatuwezi kutatua matatizo yetu binafsi.
...our government is such a strong part in our everyday lives, but our dependency on them is problematic because it is as if we can't solve our own troubles.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa hivyo nakupa pete hii kama ishara kwamba wewe ni mke wa chaguo langu na kama muhuri wa ahadi yetu ya upendo usioisha na uaminifu, kwa jina la baba, mwana na roho mtakatifu.
therefore i give you this ring as a token that you are the wife of my choice and as a seal to our pledge of unending love and fidelity, in the name of the father, the son and the holy spirit.
Last Update: 2023-12-30
Usage Frequency: 1
Quality:
makala hii ilikuwa sehemu yetu ya saba ya #lunesdeblogsgv (jumatatu ya blogu kwenye gv) ya tarehe 16 juni, 2014.
this post was part of the seventh #lunesdeblogsgv (monday of blogs on gv) on june 16, 2014.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tunadhani maisha ya waafrika na wakenya yana thamani kubwa, hili haliwezi kusahaulika kiwepesi, kwa hiyo tulianzisha kundi la soga kwenye mtandao wa wechat ambapo ndani ya muda mfupi tulifikia watu 100 tuliokuwa pia tukisambaza tangazo tulilokuwa tumelitengeneza kwa ajili ya ibada yetu ya mkesha kwa watu tuliokuwa tukiwafahamu.
we think african and kenyan lives matter, this cannot fall into oblivion so we created a wechat group where very rapidly we had about 100 people who also shared the poster we made for the vigil in their own circles.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@misteralbie: kwa mara nyingine tabia yetu ya kutokuwa na ufahamu sahihi na maandalizi dhidi ya matukio kama haya yanatugharimu #firehydrants #moiavenueblast
@misteralbie: again our lack of proper disaster awareness and preparedness bites us in our behinds. #firehydrants etc #moiavenueblast
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.