Results for ncha translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

hakuna marefu yasiyo na ncha

English

there are no troubles that dont come to an end

Last Update: 2021-01-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sisi tunaweza hata kuziweka sawa sawa ncha za vidole vyake!

English

[we are] able [even] to proportion his fingertips.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.

English

i shall cast terror into the hearts of the unbelievers and you will strike their heads and limbs;

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwani! sisi tunaweza hata kuziweka sawa sawa ncha za vidole vyake!

English

indeed yes, we are able to shape his fingerstips yet again!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na shika sala katika ncha mbili za mchana na nyakati za usiku zilizo karibu na mchana.

English

and establish prayer at the two ends of the day and at the approach of the night.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

je, hawaoni ya kwamba sisi tunaifikia ardhi tukiipunguza ncha zake? basi je!

English

do they not then see that we are visiting the land, curtailing it of its sides?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya kuambatisha, protisi ya seli mama hukwamilia na kuamilisha kipokezi kilichoambatishwa kwenye protini ya ncha kazi.

English

after attachment, a protease of the host cell cleaves and activates the receptor-attached spike protein.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na shika sala katika ncha mbili za mchana na nyakati za usiku zilizo karibu na mchana. hakika mema huondoa maovu.

English

and establish regular prayers at the two ends of the day and at the approaches of the night: for those things, that are good remove those that are evil: be that the word of remembrance to those who remember (their lord):

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

idadi kubwa ya waandamanaji wanaojitokeza mitaani na kudai mageuzi serikalini yamesababisha ushiriki wa wanawake kupanda na kufikia ncha ya mizani katika nchi ambamo ni hatari kupinga mamlaka waziwazi.

English

the massive number of protesters taking to the streets demanding government reforms has created a tipping point for women’s civic participation in a country where it is risky and dangerous to demonstrate against the authorities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bali tuliwastarehesha hawa na baba zao mpaka umri ukawa mrefu kwao. je, hawaoni ya kwamba sisi tunaifikia ardhi tukiipunguza ncha zake?

English

but in fact we have given these (disbelievers) and their fathers a benefit to the extent that life became long for them; so do they not see that we are reducing the land from its borders?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, hakuna lililoweza kupunguza wimbi la furaha lililofunika uhindi magharibi wakati visiwa viwili vilivyoko kwenye ncha mbili tofauti za visiwa hivyo vilileta nyumbani dhahabu na fedha kutoka katika michuano ya juu ya olimpiki ya 2008.

English

still, nothing could stem the overwhelming tide of happiness that washed over the west indies when two islands at opposite ends of the archipelago brought home the gold and the silver in one of the most high-profile events of the 2008 olympic games.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mfuniko wa virusi hizi katika picha ya kitaalamu ya elektroni huonekana kama jozi ya kipekee ya sheli nzito za elektroni. mfuniko wa virusi una tabaka ya lipidi ambapo protini za muundo za utando (m), mfuniko (e) na ncha kali (s) zimeshikilia.

English

the envelope of the virus in electron micrographs appears as a distinct pair of electron dense shells.the viral envelope consists of a lipid bilayer where the membrane (m), envelope (e) and spike (s) structural proteins are anchored.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,884,431,232 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK