From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
indonesia ni moja ya nchi maarufu zaidi kwa wingi wa waumini wa dini ya kiislam.
indonesia is the world's most populous muslim-majority nation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kenyan post imeipiku ghafla kama blogu maarufu zaidi nchini kenya
kenyan post has overtaken ghafla as the most popular blog in kenya
Last Update: 2023-09-18
Usage Frequency: 1
Quality:
konstantin khabensky ni mmoja wapo wa waigizaji maarufu zaidi nchini urusi.
konstantin khabensky is one of russia’s most famous actors.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
blogu maarufu zaidi na ukurasa wa facebook ni ule wa tafsiri za maidan:
the most popular blog and facebook page is that of maidan translations:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mengi yamebadilika tangu mwezi januari, wakati nilipotoa orodha ya tovuti maarufu zaidi nchini kenya.
a lot has changed since february, when i did the last top 50 most visited kenyan websites list.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hatujapata salamu za pole zilizotolewa usiku wa manane kutoka kwa watu maarufu zaidi duniani pamoja na mamilioni ya watumiaji wa mtandao.
we do not get late night statements from the most powerful men and women alive and millions of online users.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati huohuo, vyama vya siasa pia vinatumia mtandao huu ulio maarufu zaidi katika kuwashawishi vijana wadogo wanaotarajiwa kupiga kura.
meanwhile, political parties are also maximizing the popular social networking site to reach out to younger voters.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na wala hakuna ushahidi kwamba alivaa suruari fupi mithili ya kaptula ndefu, lakini mitindo hiyo ndiyo maarufu zaidi kwa kundi hili.
nor is there any to prove that his pyjamas ended several inches above his ankles, but that is also a popular sartorial choice amongst this lot.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kisa kilicho maarufu zaidi kilikuwa kile cha nyumba ya misumari ya chongqing cha mwaka 2007, ambapo wanandoa fulani walifikia makubaliano na mwendelezaji baada ya miaka mitatu ya mvutano.
the most famous one was the chongqing nail house case in 2007, when a chinese couple reached negotiated agreement with the developer after 3 years of standoff.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mfululizo wa mashindano hayo unatarishwa na endemol nchini afrika ya kusini, ambapo maonyesho haya ya moja kwa moja ya mashindano hayo kwa njia ya televisheni yametokea kuwa maarufu zaidi barani afrika.
produced by endemol in south africa, the show has become the most popular reality tv show in africa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baadhi ya blogu maarufu zaidi barani afrika zinatoka cameroon, baadhi zikiwa zinaratibiwa na na muungano wa wanablogu uitwao “collectif des blogueurs camerounais."
some of africa’s best blogs come from cameroon, some of whom are organized in the “collectif des blogueurs camerounais."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
upekee wa "hotuba za kiraia kwa njia ya video" nchini urusi inaelezwa vema zaidi kwa maoni yenye tahadhari kutoka katika moja ya blogu maarufu zaidi nchini inayoitwa dolboeb:
the novelty of “citizen video addresses” in russia is best indicated by a cautious comment from one of the most popular bloggers in the country dolboeb:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
chombo cha habari cha blogger times kinachoendeshwa na mabloga wa kiarabu, kimemtaja malkia rania wa jordan kuwa bloga maarufu zaidi wa video za kutoka uarabuni katika chombo cha video mtandaoni, youtube, kufuatia mafanikio ya mlolongo wa video za youtube aliouanzisha kuondoa dhana potofu dhidi ya waarabu.
queen rania of jordan has been named the most famous arab video blogger on youtube by blogger times, a blogging magazine run by arab bloggers, following the success of a series of youtube videos she launched to shake off stereotypes against arabs.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pengine aliyekuwa maarufu zaidi kati yao ni raia wa kroatia ante buselic, ambaye aliifikisha nchi katika fainali za kombe la washindi barani afrika za mwaka 1974, lakini mfaransa, herve renard, aliyeiwezesha timu kushinda kombe la washindi barani afrika la 2012 amefutilia mbali umaarufu wa watangulizi wake wengine wote.
the most well known of them is croatian ante buselic, who took the country to the african cup of nations finals in 1974, but frenchman, herve renard, who led the team in scooping the africa cup of nations in 2012 has swept all previous coaches off the perch.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kazi za msanii wa kivenezuela jesús soto (1923 - 2005) ni kati ya kazi maarufu zaidi zinazoonyesha sura ya sanaa ya kisasa ya amerika ya kati (latin), anafahamika zaidi kwa kazi za kutumia mikono yake mwenyewe.
the works of venezuelan artist jesús soto (1923 - 2005) are among the most famous representations of latin american modern art, known mostly for his kinetic works.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alama habari #nasaanangpangulo, yenye maaana 'rais yuko wapi' katika lugha ya kitagalog, ilikuwa mada maarufu zaidi kwenye mtandao wa twita duniani wakati wafilipino walipokuwa wakionesha hasira zao kwa rais noynoy aquino kufuatia kukosekana kwake kwenye mapokezi ya heshima ya miili ya polisi waliouawa wakiwa kwenye operesheni maalum.
the hashtag #nasaanangpangulo, which means “where is the president” in tagalog, became the top trending topic on twitter worldwide as filipinos expressed their outrage at president noynoy aquino for skipping the arrival honors for elite policemen killed in a special operation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: