Results for ndimi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kuchanganya ndimi

English

mixing tongues

Last Update: 2023-09-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi ndimi bwana nikuponyaye

English

i am the lord your healer

Last Update: 2022-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wanasema kwa ndimi zao yasiyo kuwamo katika nyoyo zao.

English

so plead [to allah] for our forgiveness!’ they will say with their tongues what is not in their hearts.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakikuwezeni wanakuwa maadui zenu, na wanakukunjulieni mikono yao na ndimi zao kwa uovu.

English

if they come upon you, they will be your enemies, and stretch out their hands and tongues to do evil to you.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na khofu ikiondoka wanakuudhini kwa ndimi kali, nao ni mabakhili kwa kila la kheri.

English

but once the fear departs they assail you with their sharp tongues, being greedy to possess good things.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mimi nimewaambieni mambo haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea mpate kuamini kuwa mimi ndimi.

English

now i tell you before it come, that, when it is come to pass, ye may believe that i am he.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na husema: "raai'naa", kwa kuzipotoa ndimi zao ili kuitukana dini.

English

and ra'ina with a twist of their tongues and as a mockery of the religion (islam).

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na katika ishara zake ni kuumba mbingu na ardhi, na kutafautiana ndimi zenu na rangi zenu.

English

among his signs is the creation of the heavens and the earth, and the difference of your languages and colours.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na wanampa mwenyezi mungu wanavyo vichukia wao, na ndimi zao zinasema uwongo kwamba wao watapata mema.

English

and they assign unto allah that which they (themselves) dislike, and their tongues expound the lie that the better portion will be theirs.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yesu akamwambia, "mimi ndimi ufufuo na uzima. anayeniamini mimi hata kama anakufa, ataishi:

English

jesus said unto her, i am the resurrection, and the life: he that believeth in me, though he were dead, yet shall he live:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na katika ishara zake ni kuumba mbingu na ardhi, na kutafautiana ndimi zenu na rangi zenu. hakika katika hayo zipo ishara kwa wajuzi.

English

and among his signs is the creation of the heavens and the earth, and the differences in your languages and colours; indeed in this are signs for people who know.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wala msiseme uwongo, kwa kuropokwa na ndimi zenu: hichi halali, na hichi haramu - mkimzulia uwongo mwenyezi mungu.

English

(unbelievers), do not follow whatever your lying tongues may tell you is lawful or unlawful to invent lies against god.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini kuhusu malaika, mungu alisema: "mungu awafanya malaika wake kuwa pepo, na watumishi wake kuwa ndimi za moto."

English

and of the angels he saith, who maketh his angels spirits, and his ministers a flame of fire.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wala msiseme uwongo, kwa kuropokwa na ndimi zenu: hichi halali, na hichi haramu - mkimzulia uwongo mwenyezi mungu. hakika wanao mzulia uwongo mwenyezi mungu hawatafanikiwa.

English

and do not say – the lie which your tongues speak – “this is lawful, and this is forbidden” in order to fabricate a lie against allah; indeed those who fabricate lies against allah will never prosper.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,884,684,814 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK